Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Basi kana ni hivyo. ukiniletea ng'ombe wapatao 500 tu mimi sina shida kabisa ya wewe kuwa mkwe wanguImefikia kipindi nikiona tu sio wewe unayesoma taarifa ya habari basi naondoka au nabadilisha channel.
Na nilivyo mgonjwa wa big nyashi, sehemu muhimu zaidi kwangu ni pale unapogeuka na kutembea kwenda kukaa kwenye kiti ili usome taarifa kamili.
Dah, waliokuzaa wanastahili pongezi kwakweli.
Muwe na usiku mnono!