Farhia Middle wa ITV/Radio One sasa umekuwa mtamu kama mcharo!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni mtangazaji ambaye alianza kwa " kusuasua " huku akionekana kukosa self esteem hasa akiwa anatangaza katika tv lakini sasa huyu Mtangazaji wa Kike wa ITV / Radio One Farhia Middle amekuwa akinishawishi kila mara nimuangalie akiwa " anatiririka " kutangaza taarifa zake za Habari ITV na niseme tu kuwa kwa sasa " ameiva " na kawa " mtamu " kama " mcharo ".

Ombi langu kwako Bidada jaribu kuvaa nguo ambazo zinakukaa vizuri kwani hizo nguo uzivaazo na hasa hayo makoti huwa hayakupendezi na yanakuharibu na kumbuka Wewe ni bonge la Mrembo hivyo hupashwi kutopendeza. Lakini upande wako wa Tabasamu, Macho, Rangi na Sauti yako hakika huna mpinzani kwa sasa hapa Tanzania.

Nakutabiria na naomba kama kweli Mwenyezi Mungu huwa anasikiliza " dua " zetu basi ndani ya miezi sita ( 6 ) tu ijayo nikuone ukiwa ama BBC au VOA kwani kwa uwezo wako mkubwa ulionao hapo ITV / Radio One na hapa Tanzania unapoteza tu muda.

Nakukubali sana Bibie na nakutakia mafanikio mema na uzidi kung'aa.
 
Na uhakika Hana muda mrefu tutamskia yupo BBC au deustche welle sifa zote anazo
 
Ikimbie zinaa!
 
Wakuu kuna mtangazaji alikuwa anaitwa FLORA NDUCHA yupo wapi! nilikuwa napenda usomaji wake wa habari.
 
Florah Nducha kwa sasa ni Mkuu wa Redio
ya Umoja wa Mataifa ( UN) New York Marekani.
 
Hata mm ananivutia sana,kiukweli ni mzur na kale katabasam kake na macho yake, asee yuko vizur, hongera zake anaemiliki
 
Bondia huyo.... Hakuna anaemiliki.
kwako bondia sawa! Bt ukipendocho wew si lazma mim au wengne wakipende mkuu, thnx kwa kuniambia hakuna anaemiliki ili nianze hatua za kugombea ili nimiliki Jimbo, afu inaonekana una wivu sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…