Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Hawachukui vilaza kule!!!
Ndio kigezo cha
Utangazaji bora huko bbc?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kigezo cha
Utangazaji bora huko bbc?
Mpinzani wake ni Elizabeth Mramba wa TBCNi mtangazaji ambaye alianza kwa " kusuasua " huku akionekana kukosa self esteem hasa akiwa anatangaza katika tv lakini sasa huyu Mtangazaji wa Kike wa ITV / Radio One Farhia Middle amekuwa akinishawishi kila mara nimuangalie akiwa " anatiririka " kutangaza taarifa zake za Habari ITV na niseme tu kuwa kwa sasa " ameiva " na kawa " mtamu " kama " mcharo ".
Ombi langu kwako Bidada jaribu kuvaa nguo ambazo zinakukaa vizuri kwani hizo nguo uzivaazo na hasa hayo makoti huwa hayakupendezi na yanakuharibu na kumbuka Wewe ni bonge la Mrembo hivyo hupashwi kutopendeza. Lakini upande wako wa Tabasamu, Macho, Rangi na Sauti yako hakika huna mpinzani kwa sasa hapa Tanzania.
Nakutabiria na naomba kama kweli Mwenyezi Mungu huwa anasikiliza " dua " zetu basi ndani ya miezi sita ( 6 ) tu ijayo nikuone ukiwa ama BBC au VOA kwani kwa uwezo wako mkubwa ulionao hapo ITV / Radio One na hapa Tanzania unapoteza tu muda.
Nakukubali sana Bibie na nakutakia mafanikio mema na uzidi kung'aa.
😀😀Mpinzani wake ni Elizabeth Mramba wa TBC