Farhina, amu, mazizimkavu, bak na wapishi wengine. Msaada wa mapishi ya beef burger.

Angel my dear kwa madikodiko zaidi kama upo fb kuna groups za mapishi zinasaidia sana kama nlikua huwezi hata kuchemsha maji unafunzwa hadi kua expert wa kupika pizza,recipe zimeelezwa kwa urahisi na ingredients zinapatikana kirahisi.Karibu
 
Mie niwajue tu hao akina Farhina na mazizmkavu baada ya hapo ntawafundisha hadi kupika ccm.
 
santeee...malizia basi na jinsi ya kutengenea ule mkate wake. farkhina
 
Last edited by a moderator:
santeee...malizia basi na jinsi ya kutengenea ule mkate wake. farkhina

Poa usijali....

Mkate wa burger

Mahitaji....

1)Unga 4 kikombe
2)hamira 2 teaspoon..
3)mafuta 4 tablespoon na siagi iliyoyayushwa 2 tablespoon (kwa ladha nzuri)
4)yai moja...
5)maji/maziwa
6)chumvi kiasi
7)ufuta(sesame seeds)..
8)baking powder 1/2 tablespoon....

1)Changanya unga,chumvi,baking powder na hamira vizuri

2)vunja yai...weka ute pembeni,kiini weka kwenye unga then weka mafuta na siagi...

3)mimina maji kidogo kidogo kwenye unga hadi uchanganyike vizuri kama wa chapati

4)kanda unga ili ulainike vzr kwa dakika 10-15

5)acha unga uumuke kwa muda wa nusu saa

6)kata kata maduara ukubwa kiasi...weka kwenye trey

7)kwa kutumia brush pakaa juu ya maduara ute wa yai...then nyunyizia ufuta juu yake

8)acha iumuke....washa moto 300-350°……hadi kuwiva ..
 
Attachments

  • 1387897215163.jpg
    61.6 KB · Views: 120
Last edited by a moderator:
Mie niwajue tu hao akina Farhina na mazizmkavu baada ya hapo ntawafundisha hadi kupika ccm.

Hiyo ccm itasaidia nini? Tunakula kwa jasho letu Baba V....mambo ya ccm sijui nini tupa uko🙄🙄🙄
 
Last edited by a moderator:
Angel my dear kwa madikodiko zaidi kama upo fb kuna groups za mapishi zinasaidia sana kama nlikua huwezi hata kuchemsha maji unafunzwa hadi kua expert wa kupika pizza,recipe zimeelezwa kwa urahisi na ingredients zinapatikana kirahisi.Karibu

Ok thanx dear.

Hio acc imenisumbua siku nyingi mwisho nkaachana na fb.

Ndo hio program inoitwa mapishia ya mwanbao?

Humskia wifi yangu.
 
MashAllah aleeyh
 
Nunua burger maker inafanya hayo yote mpk hotdog unaandaa mwenyewe
 
jamaniiiiiiiiiiiii kitu cha bonjour morocco au kule masaki njia panda mweeee.
Mate yamentokaje sasa
 
Mmmhu, umefika mbali boss wetu.
Lol.

Sie wengine nyama tunoweka katikati ni moja tu.

Malimbwata ndo kama haya mengine tunofundishana hapa, ya mapishi.

Mamito tumesubiri burger kula cjui umetusahauje ha JF....au zipo jikoni?
 
Mamito tumesubiri burger kula cjui umetusahauje ha JF....au zipo jikoni?

Ha ha haaaa, afu mi mchoyo enhee?
Kiukweli jana nimepika, zimetokea nis kiasi.

Lkn kwa vile nimejaribu nimepika kdg tu.

So next time ntapika kwa ajili ya members wooote wa mapishi.

Lol.
 
hahahahahahahahhhahaa jamani mate yana dondoka jamani unani tamanisha wewe acha tu
 
jamaniiiiiiiiiiiii kitu cha bonjour morocco au kule masaki njia panda mweeee.
Mate yamentokaje sasa

Hahahahahhahaha amu....hujambo lakin?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…