Farhina, amu, mazizimkavu, bak na wapishi wengine. Msaada wa mapishi ya beef burger.

Ha ha haaaa, afu mi mchoyo enhee?
Kiukweli jana nimepika, zimetokea nis kiasi.

Lkn kwa vile nimejaribu nimepika kdg tu.

So next time ntapika kwa ajili ya members wooote wa mapishi.

Lol.

Hadi mie nimesahauliwa😱😱😱

Salaleee...
 
kesho napika hii kitu ntaleta feedback kama imetoka maloloso au?tatizo kijijini huku sina uhakika kama ntapata nyama ya kusaga ila kuna kijisupermarkte nitajaribu hapo
 
Kila la kheir amu
 
Last edited by a moderator:
Ukiweka ndimu itawiva tu huna haja ya kuchemsha....

my dia ndo nimetoka supermarket nimepata nyama ya kusaga,mayonnaise,mkate wa kawaida kwa ajili ya chengachenga.Vingine nnavyn home ila sasa burger bun nimezunguka mji mzima kuutafuta sijaupata yaani mesononeka ntaishia kula ya kusaga na sphagheti.Next weekend nitautafuta wanaosema leo wanaosupply huo mkate hawajaleta
 
Si ungepika mwenyeo tu hizo buns...
 
Back
Top Bottom