PreGE2025 Farid Amanzi atangaza nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

PreGE2025 Farid Amanzi atangaza nia ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Kada wa Chama Cha Mapinduzi na Aliyekuwa Katibu wa Umoja wa Vijana wa CCM Tawi la Chuo Cha Kodi na Mjumbe wa Seneti ya Dar es Salaam Mwaka 2021/2022. Farid Amanzi ametangaza Nia ya Kuchukua FOMU ya Kugombea Ubunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki ambalo Kwa Sasa lipo chini ya Mheshimiwa Hamis Taletale maarufu kama Babu Tale, AMANZI anakuwa ni miongoni mwa Vijana waliochungulia fursa ya kuwawakilisha Vijana wenzake Bungeni katika uchaguzi wa Mwaka huu
Screenshot 2025-06-29 164247.png
 
Back
Top Bottom