farid mussa maliki

Ni mchezaji mzuri sana ila naona Bench limemmaliza sana,kwa local players hatupaswi kumuacha kwasababu anakitu
 
Jamaa aongeze jitihada,kuna siku nilimuona kaingia kipindi cha pili kacheza kidogo tu akatolewa daah kwa wachezaji hicho kitu huwa hakipendezi kabisa
 
Jamaa aongeze jitihada,kuna siku nilimuona kaingia kipindi cha pili kacheza kidogo tu akatolewa daah kwa wachezaji hicho kitu huwa hakipendezi kabisa
ni kweli ndio maana mechi iliyofuata na dodoma jiji,gamondi alimpa dakika 70 kucheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…