fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
ongeza bidii kufanya mazoezi,na ukipewa nafasi kucheza ongeza umakini uwanjani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweliNi mchezaji mzuri sana ila naona Bench limemmaliza sana,kwa local players hatupaswi kumuacha kwasababu anakitu
ni kweli ndio maana mechi iliyofuata na dodoma jiji,gamondi alimpa dakika 70 kuchezaJamaa aongeze jitihada,kuna siku nilimuona kaingia kipindi cha pili kacheza kidogo tu akatolewa daah kwa wachezaji hicho kitu huwa hakipendezi kabisa