ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Unafurahishaaaa tukuwekeewakoouchekeKutoka tenerife hadi jangwani,akili za ajabu sana
Yanga nayo si timu ndogo ujueKutoka tenerife hadi jangwani,akili za ajabu sana
rudi shule kwanza ujifunze kuandika kwa ufasahaUnafurahishaaaa tukuwekeewakooucheke
Usnifokee
Za kimataifa gani.?ya islael auNi mchezaji mzuri. Hivyo tunamtakia kila la heri. Aje aibebe timu ya wananchi kwenye mechi zote za kitaifa na pia zile kimataifa.
Huyo alishapotea,Kutoka tenerife hadi jangwani,akili za ajabu sana
Haichezi hata shirikisho unasema timu kubwa. Ukisema timu kongwe ntakubali.Yanga nayo si timu ndogo ujue