ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Wakati lile movie likiendelea huko Karume leo wananchi wametangaza ingizo jipya, ni Farid Mussa aliyekua akikipiga huko mbele.
===
Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili winga wa zamani wa Azam FC na Tenerife B ya nchini Hispania Farid Mussa
===
Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili winga wa zamani wa Azam FC na Tenerife B ya nchini Hispania Farid Mussa