Farkhina na wana jf wa jikoni wote ...naomba recipe ya kaimati/gulab jamun plsss

Farkhina na wana jf wa jikoni wote ...naomba recipe ya kaimati/gulab jamun plsss

Mrs Kharusy

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
1,244
Reaction score
671
Habari wandugu, mwenye recipe ya kaimati au gulab jamun naomba atumwagie uwanjani.....unajua mchele mmoja mapishi elfu moja..mambo ya jioni haya na gahawa!
 
Back
Top Bottom