Farkhina this is for you

Farkhina this is for you

Dahhh ! Evelyn Salt huu wimbo nimejaribu kuufikiria lakini nimetoka kapa, umeimbwa na nani?

Naomba pongezi zisindikizwe na lile song ila kurusha wowowo
sijui hata linaitwaje wanaimba " amalediiiiii amalediiiii"
 
Shost utanishtua na mie najua tu kupika ugali ule wa kuumiza mbavu
nikipika chapati heeee ngoja niuchune mie


Hahahahhahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Yaani hizo chapati zimenivunja mbavu aisee. Daaahh
 
Hahahahahahahha lol!!! Hizi ndio chapati zako ES? lol!!!!

attachment.php



Shost utanishtua na mie najua tu kupika ugali ule wa kuumiza mbavu
nikipika chapati heeee ngoja niuchune mie
 
Shukraan dada Karucee

Jazaakhallah Khairan bibie!aliyekuoa anafaidi mashaallah!hawa wakwetu hata chapati kukanda hawajui wavivu kila kitu housegirl matokeo yake ma vyakula bomu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom