Jazaakhallah Khairan bibie!aliyekuoa anafaidi mashaallah!hawa wakwetu hata chapati kukanda hawajui wavivu kila kitu housegirl matokeo yake ma vyakula bomu
Shukraan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jazaakhallah Khairan bibie!aliyekuoa anafaidi mashaallah!hawa wakwetu hata chapati kukanda hawajui wavivu kila kitu housegirl matokeo yake ma vyakula bomu
Kama hajui si umfundishe we vipi!!!
ahsante asakuta same kwa kunifundisha kuoka skonzi
Naomba pongezi zisindikizwe na lile song ila kurusha wowowo
sijui hata linaitwaje wanaimba " amalediiiiii amalediiiii"
unazungumzia single lady ya beyonce Evelyn Salt ?
Heee nausubiri huo wimbo kama wa mduara au sebene nimwambie Evelyn Salt kabisa aniazime wowowo lake