Bado mtoto ukikua utaijuaPicha plz wengine hatujui konyagi ndio nini
Inaitwa Jibapa au Mzee wa Upako BOB LUSEWadau Binafsi Nimepata Kuiona Konyagi Mpya Na Vile Vile Nimepata kunitumia.
Hii Mpya Inaujazo wa ML 750 Ndio Kubwa Zaid
Ipo Bomba Sana Hii Itakuwa Inaitwa Faru John jina La Utani
Jion Njema
Hasa ..... hiii inaitwa Jibapa au Liji Lusekelo au Mzee wa upako au BOB LUSEUtakuwa unazungumzia lijiLUSEKELO........(jibapa)
Yaani aitwe Mmawia alaf awe mchaga?mmawia ni wale wenye chale usoni kabisaWw Nawe Wa Mtwara Kumbe
nimekumind kinoma, sijapenda ulivyoandikaUnakaa Mtwara Nn?
Nimepotea njia,mi na vile tofautiWadau Binafsi Nimepata Kuiona Konyagi Mpya Na Vile Vile Nimepata kunitumia.
Hii Mpya Inaujazo wa ML 750 Ndio Kubwa Zaid
Ipo Bomba Sana Hii Itakuwa Inaitwa Faru John jina La Utani
Jion Njema
Hili jamaa lilevi kweli![emoji124] [emoji124] [emoji124]Wadau Binafsi Nimepata Kuiona Konyagi Mpya Na Vile Vile Nimepata kunitumia.
Hii Mpya Inaujazo wa ML 750 Ndio Kubwa Zaid
Ipo Bomba Sana Hii Itakuwa Inaitwa Faru John jina La Utani
Jion Njema