( Faru John) Konyagi Katika Muonekano Mpya

Wadau Binafsi Nimepata Kuiona Konyagi Mpya Na Vile Vile Nimepata kunitumia.

Hii Mpya Inaujazo wa ML 750 Ndio Kubwa Zaid
Ipo Bomba Sana Hii Itakuwa Inaitwa Faru John jina La Utani

Jion Njema
Nimepotea njia,mi na vile tofauti
 
Wadau Binafsi Nimepata Kuiona Konyagi Mpya Na Vile Vile Nimepata kunitumia.

Hii Mpya Inaujazo wa ML 750 Ndio Kubwa Zaid
Ipo Bomba Sana Hii Itakuwa Inaitwa Faru John jina La Utani

Jion Njema
Hili jamaa lilevi kweli![emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom