Fashion mpya ya Vanessa Mdee

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Shikamoni wakubwa, wadogo malhaba!!
Huu ndyo mwonekano mpya wa mwanamuziki Vanessa Mdee. Toa koment yako juu ya uvaaji wake, je ni utandawazi au ni ushamba wangu?
 
Kama analipwa jee??

hela isiwe sababu ya kufany utandauchi, huko ni kujishushia heshima na pia inawaathir wadogo zake ambao wanamwona kama role model waoπŸ€” coz nao ndo baadae tunapat wauza utandauchi πŸ”ž
 
Watu hawaleti hisia kwenye business. Huyu mdada katika wasanii wanaojua kujibrand bhasi anaongoza na ndio maana anapata deals zilizopo international maana anauzika pakubwa.
Haijalishi ipo right or wrong kwako lakini kwake ndio inamlipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…