Fashion za waimba kwaya

Hahahahahaa mkuu umenifanya nikumbuke videos kadhaa za Rose Muhando,Bonny Mwaitege n.k
Nimecheka sana.
Sijui huwa wanalazimishwa kucheka, maana sio kwa matabasamu yale, mmmh hii nayo nje ya mada[emoji85]
 
hivi kwanini madansa wa waimba injili huwa wanatabasamu tuseme wanagrin muda wote? mpaka wanakuwa kituko.
Yani sometime nikiangaliaga video zao nikiwa nasafiri kwenye ma'bus nabaki nacheka mwenyewe.
 
Lakini hao ndugu zetu jamani wamezidishaa, utadhani kanisani wamelazimishwa kushona dizaini hiyo
 
Nawe kiboko ama ulikua umechokana na huyo girlfriend? Maana haiingii akilini kumwacha umpendea kisa shati la kung'ara si ungemwelimisha tu.
Nao uko sawa ya wengi hawapendi kuwatengeneza wapenzi wao kuendana na matakwa Bali watengenezewe tu,
 
Kwaya za kilokole kutoka mbeya wanapenda moka nyeupe, mashati ya kumeremeta, na vizibao hatareeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…