Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Sijui huwa wanalazimishwa kucheka, maana sio kwa matabasamu yale, mmmh hii nayo nje ya mada[emoji85]Hahahahahaa mkuu umenifanya nikumbuke videos kadhaa za Rose Muhando,Bonny Mwaitege n.k
Nimecheka sana.