Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola milioni 700, huku dola milioni 200 zikitoka kwa watazamaji nchini China.

Studio za Universal zimempongeza director Justin Lin na kuthibitisha kuwa toka filamu za Fast and Furious kuanza mwaka 2001, zimewaingizia dola bilioni 6.59. Toleo la 10 la Fast and Furious linatoka Aprili 7, 2023.
 
-

Hiyo ya 2023 watakuwa wako wanafight aliens na space cars[emoji28]
 
Back
Top Bottom