Last time napanda precision walidelay baada ya sa5 tukaondoka sa9 bila taarifa(dar-mbeya)wakija hawa jamaa watunza mda precision inakuwa imekufa rasimi inabaki trip za mtwara na kigoma kwani mwanza hawapo tena!!!
Hilo nalo Neno. Kwani CEO wao alikuwa??????Precision Air wanajitetea kuwa wametapeliwa na KQ
Hiyo inakuwaga bei ya danganya toto tu kaka usiiamini sana. Wanaweka kwa seat 10 tu kati ya 140+ seats then nyingine wanauza kwa bei za kufidia hiyo 32k. Utaelewa taratibu tu haina haraka.
Swali la kwanza jibu A
Swali la pili jibu B
Mkuu unaonekana ulikuwa mkali sana wa maswali ya kuchagua. Hata hivyo nakupa maksi 98% maana huwezi kupata mia zote mbili lazima umwachie mleta swali eboo
Ni sawa hiyo ni bei ya kuvutia kama ulivyosema ni seat kama 10 tu lakini ukiangalia kwa ujumla bei yao ni rahisi zaidi kuliko zile za precision air.
Precision wafanye kama makampuni ya simu tu. Aliyejuu, mfate hukohuko, usimngoje chini. Kama unielewi namaanisha nini kamuulize tigo.
Wasalipa nkani!!!