Last time napanda precision walidelay baada ya sa5 tukaondoka sa9 bila taarifa(dar-mbeya)wakija hawa jamaa watunza mda precision inakuwa imekufa rasimi inabaki trip za mtwara na kigoma kwani mwanza hawapo tena!!!
Waje tu, Mby tumeteseka sana jamani. Tulikuwa hatuna option ya usafiri,uwe na hela au huna wote usafiri ni bus. Njoo fj utupe afueni.