mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,735
Ktk pitapita zangu wiki hii sijaziona hizo nikashangaa badala yake ilikuwepo boing 767 star... Kuna wahudumu kama wazambia wenda walikodi maana ilikuwa haina jina kwa nje.Wamewaondoa lini? Mbona nimesafiri nao jumapili hii ya 19
nani awaHabari wanajamvi?
Miezi michache iliyopita kampuni ya usafiri wa anga hapa nchini Tanzania FastJet ilisitisha matumizi ya ndege za Airbus A319 na kuamua kutumia ndege ndogo za Embraer E190 kwa kushirikiana na kampuni kutoka Hungary.
Leo hii FastJet kutoka Mwanza kwenda Dar ilikuwa Airbus A319 na hata katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo kulikuwa na Airbus A319 nyingine mbili.
Ni nini kimetokea hapa katikati?
Wateja wameongezeka tena Tanzania?
Cc barafu
Habari wanajamvi?

Cc barafu[/QUOTEnani apande vipangaboya vyao, vikifika kwenye mawingu vinatikisika kama upo kwenye matuta ya barabara ya morogoro?
Unaishi kwa kujishtukia kshenzhahahahah maana yake biashara ni nzuri sana .....pigo kwa wale waomba mabaya