Fastjet amerudisha Airbus zake, kulikoni?

Fastjet amerudisha Airbus zake, kulikoni?

Wiki hii
Wamewaondoa lini? Mbona nimesafiri nao jumapili hii ya 19
Ktk pitapita zangu wiki hii sijaziona hizo nikashangaa badala yake ilikuwepo boing 767 star... Kuna wahudumu kama wazambia wenda walikodi maana ilikuwa haina jina kwa nje.
 
Habari wanajamvi?

Miezi michache iliyopita kampuni ya usafiri wa anga hapa nchini Tanzania FastJet ilisitisha matumizi ya ndege za Airbus A319 na kuamua kutumia ndege ndogo za Embraer E190 kwa kushirikiana na kampuni kutoka Hungary.

Leo hii FastJet kutoka Mwanza kwenda Dar ilikuwa Airbus A319 na hata katika uwanja wa ndege wa JK Nyerere jijini Dar es salaam mchana wa leo kulikuwa na Airbus A319 nyingine mbili.

Ni nini kimetokea hapa katikati?
Wateja wameongezeka tena Tanzania?

Cc barafu
nani awa

Cc barafu[/QUOTEnani apande vipangaboya vyao, vikifika kwenye mawingu vinatikisika kama upo kwenye matuta ya barabara ya morogoro?
 
kwa style hii watakaopanda mapanga shaa watakuwa wachache sana.. huku fastjet huku precision air

wacha niendelee kupanda daladala.. for now
 
Back
Top Bottom