educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 395
- 455
Nimekuwa mdau mkubwa wa Fastjet toka ianzishwe kwa domestic na International flights na hasa Johanesbug lakini hivi karibuni hawa jamaa FASTJET wamezidisha ku-cancel ndege imenikuta nikiwa ugenini (Johannesburg) na nimeishiwa pesa. Nawapigia CALL CENTRE hawapokei. Kwa kweli NAFUU NI GHARAMA.