Fastjet cancellation zimezidi

Fastjet cancellation zimezidi

educator2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
395
Reaction score
455
Nimekuwa mdau mkubwa wa Fastjet toka ianzishwe kwa domestic na International flights na hasa Johanesbug lakini hivi karibuni hawa jamaa FASTJET wamezidisha ku-cancel ndege imenikuta nikiwa ugenini (Johannesburg) na nimeishiwa pesa. Nawapigia CALL CENTRE hawapokei. Kwa kweli NAFUU NI GHARAMA.
 
Hivi Tanzania kuna "passenger bill of rights"? FastJet ingetakiwa ikulipie gharama za hotelini nk.
 
Ilikuwa niende Joburg tarehe 22 September lakin nimetumiwa sms toka FASTJET wame-cancel daah! najaribu kuangalia kama naweza kupata tiket cheap naona kote maji ya shingo 700 USD SAA, 542 USD KQ & 551 USD RWANDAIR. inabidi niunge unge kwa basi mpaka Lusaka-Harare-joburg.
 
Wametoa sababu gani mzee za ku cancel? Nina ticket ya tar nane october kwa safari kama yako, kama vip isiwe tabu nianze mdo mdo lusaka harare....maana ukiacha fastjet sisi walalahoi hakuna option nyingine angani,
zaidi ya taqwa na falcon...
 
nadhani hakuna mkuu kama ingekuwepo huyu mkuu wangemlipa hawa fastjet wamefanya makosa sana

ukishanunua ticket yao,soma terms na conditions.hasa hsasa kuhusu delays na cancellations,sijazikariri sana but ila ikidelay kwa saa moja hadi mawili,mtajulishwa.ikidelay kwa masaa mawili hadi matatu mtapewa viburudisho vyenye thamani ya tsh 8000 na ikidelay zaidi ya hapo flight ita canceliwa na aidha ukubali kuwekwa kwenye flight itakayfuata kamaitakuwa na nafasi au urudishiwe hela yako.so huna pa kuwadai since ulikubaliana nao
 
Binafsi nilitaka kusafiri tarehe 22.9 kwenda Cape Town (yaani nipande Fastjet mpaka Joburg) halafu pale nipande KULULA but Fastjet Wanadai cancellation ni due to OPERATIONAL TECHNICAL REASON ndo maana wame-cancel lakini ukweli ni kuwa wameanzisha route nyingi kwa ndege zile zile 3 sasa wanazidiwa na watu kwa hiyo inabid wakati mwingine wasitishe baadhi ya route ku-accommodate routes mpya. Wanasema wataanza tena joburg tarehe 27.9
 
Inawezekana wamezidiwa ,maana hata hiyo route ya jo burg sasa ni usiku wa manane,
 
Ukiwa unaenda south tumia usafiri wa shirika la ndege la Afrika Kusini wako poa, unapata hotel safi ukisubiri kuunganisha ndege na katika tiketi yako unapewa na risiti ya hoteli unayotakiwa kufikia, ingawa nauli yao ndefu kidogo, ila ni usafiri salama makini zaidi kusini mwa Jangwa la Sahara.
 
Mkuu inawezekana wewe ni mtu wa corporate, or the likes, kwa maana kuwa direct cost ya ticket haikuhusu. sio kuwa SAA hatuioni, ila nauli yao ni ghali, they've just quoted me $740 return ticket to jo burg, wakati fast jet $ 220 return, ndo maana zinapotokea cancllation tunabaki the old school option, ... Taqwa
 
Ilikuwa niende Joburg tarehe 22 September lakin nimetumiwa sms toka FASTJET wame-cancel daah! najaribu kuangalia kama naweza kupata tiket cheap naona kote maji ya shingo 700 USD SAA, 542 USD KQ & 551 USD RWANDAIR. inabidi niunge unge kwa basi mpaka Lusaka-Harare-joburg.
Nimesikitika sana katika hiyo list ATCL haipo!
 
ATCL wanakula per diem za vikao vya bodi, safari za kwenda DUBAI &DOHA kujifunza namna ya kuendesha biashara ya airline na kwenda kushona Uniforms CHINA
 
ATCL ni majanga ndege hazizidi 3 lakini ina wafanyakazi zaid ya 300. FULL MAUZA UZA
 
fastjet ni kama hawawalipi vizuri staff wao wale waliopo kwenye ofisi zao DAR(Double Tree, City Centre na airport), MWZ & ARUSHA. ukitokea mteja wanakunja ndita balaa
 
Wapenda dezo utawajua tu. FASTJET FASTJET kwani ndege nyingine hamzioni? achene hizo bana
 
Tatizo nyie wachaga mmezaoea kuwaibia watu na PRECISION yenu mkiona Fastjet anakamata soko mnaanza fitna. Poor Chaggaz
 
Back
Top Bottom