educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 395
- 455
Nimekuwa mdau mkubwa wa Fastjet toka ianzishwe kwa domestic na International flights na hasa Johanesbug lakini hivi karibuni hawa jamaa FASTJET wamezidisha ku-cancel ndege imenikuta nikiwa ugenini (Johannesburg) na nimeishiwa pesa. Nawapigia CALL CENTRE hawapokei. Kwa kweli NAFUU NI GHARAMA.
Hivi Tanzania kuna "passenger bill of rights"? FastJet ingetakiwa ikulipie gharama za hotelini nk.
Ilikuwa niende Joburg tarehe 22 September lakin nimetumiwa sms toka FASTJET wame-cancel daah! najaribu kuangalia kama naweza kupata tiket cheap naona kote maji ya shingo 700 USD SAA, 542 USD KQ & 551 USD RWANDAIR. inabidi niunge unge kwa basi mpaka Lusaka-Harare-joburg.
nadhani hakuna mkuu kama ingekuwepo huyu mkuu wangemlipa hawa fastjet wamefanya makosa sana
Ukiwa unaenda south tumia usafiri wa shirika la ndege la Afrika Kusini wako poa, unapata hotel safi ukisubiri kuunganisha ndege na katika tiketi yako unapewa na risiti ya hoteli unayotakiwa kufikia, ingawa nauli yao ndefu kidogo, ila ni usafiri salama makini zaidi kusini mwa Jangwa la Sahara.
Nimesikitika sana katika hiyo list ATCL haipo!Ilikuwa niende Joburg tarehe 22 September lakin nimetumiwa sms toka FASTJET wame-cancel daah! najaribu kuangalia kama naweza kupata tiket cheap naona kote maji ya shingo 700 USD SAA, 542 USD KQ & 551 USD RWANDAIR. inabidi niunge unge kwa basi mpaka Lusaka-Harare-joburg.
ATCL ni majanga ndege hazizidi 3 lakini ina wafanyakazi zaid ya 300. FULL MAUZA UZA