N-handsome
JF-Expert Member
- Jan 23, 2008
- 2,453
- 560
Wale wanaotangaza jina ni pale unanapokua umesha check in na kupewa boarding pass lkn huonekani wakati wa kupanda ndege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh.... Mbona si hivi kwa airports za Tanzania? Au wewe waongelea viwanja vya wap ndugu?
Angalia condition 7.5
Sasa inakuwaje ufike labda 50 minutes wakwambie umechelewa? Ni wahuni hao na niliapa sitakaa nifikirie kusafiri na hiyo ndege tena, ni wapuuzi.
Tiba
Hawa watu wa check-in nimekomaa nao kinoma na nilikua na washikaji wengne, yaan. Du. Ku-reschedule naambiwa laki 2, nimeshangaa sana....
Wadau,
Nimefika Airport hapa Mwalimu Julius, ilikua dakika 40 before boarding.But huwezi amini nimekataliwa kupanda ndege, naambiwa nimechelewa na kufanya re-schedule hawa jamaa wapo very expensive.
Dah sina hamu safari yangu ya Mwanza imebidi ni cancel.
Sio suala la kuwahi wala nini hawa fast jet ni wapuuzi tu. Wao wanakwambia ufike 40 minutes kabla ya safari lakini hii kitu hawaifuati. Ukifika kwa muda huo unakuta hata counter wameishafunga. Yalinipata Arusha haya ya fastjet some two years back nikitoka KIA kurudi Dar na tangia siku hiyo sitaki kusikia kitu kinaitwa fast jet, wapuuzi sana.
Tiba
Kwa hili hapana, ukifika ndani ya dk 40 hawakupokei, why? Ni sheria za kiusalama airport. No rush hours. Tujifunze kuwahi at least ukichelewa sana ni lisaa kabla ndege kuondoka uwe counter. Soma post iko hapo juu ameweka link ina maelekezo namna ya kucheck in.
Angalia condition 7.5
Mbaya zaidi nimekata go & return... Yaan tabu
Panda basi utarudi na ndege siyo shida
hongera mkuu jpili ntakuwa hapo piaDu, basi majanga.. Nilifikaga zaman, now niko mwanza nafurahia samaki watamu na hewa safi...
Du, basi majanga.. Nilifikaga zaman, now niko mwanza nafurahia samaki watamu na hewa safi...