Fastjet hawapo poa

Wale wanaotangaza jina ni pale unanapokua umesha check in na kupewa boarding pass lkn huonekani wakati wa kupanda ndege
 
Mmh.... Mbona si hivi kwa airports za Tanzania? Au wewe waongelea viwanja vya wap ndugu?

Kwa kuwa unasafiri kesho na fastjet hiyo hiyo jaribu kuwauliza wakuelekeze vizuri,ikiwezekana wakuonyeshe hizo hatua za kupitia,hazina tofauti na viwanja vingine vya kimataifa.Nakuhakikishia wewe na mkuu Tiba mtaelewa tu.
 
Sasa inakuwaje ufike labda 50 minutes wakwambie umechelewa? Ni wahuni hao na niliapa sitakaa nifikirie kusafiri na hiyo ndege tena, ni wapuuzi.

Tiba

Upo sawa mkuu, hawa jamaa, ili use on the safe side, lazima ufike two hours kabla ya muda wa kuondoka, hivyo itakusaidia pia, kwa tatizo la foleni hapa town, wahi, unakua uko safe, ukiona umechelewa, chukua hata boda mkuu, maana kwa usafiri mwingine hutaweza kuwahi vizuri kutokana na foleni...
 
Hukufuata condition zao

Mkuu ulutakiwa kufika mapema kabla ya lisaa toka waanze Ku bo ard. Umechelewa usimlaumu MTU mkuu
 

Tatizo ni wewe, sio fastjet. Dakika 40 kabla ya muda wa kuondoka ni muda wa wao ku-vet majina ya wasafiri. Wanaposema ufike dk 40 kabla ya ndege kuondoka wanamaanisha zikibaki hizo hawapokei mtu tena. Hii ni sheria ya airport ni wala sio fastjet kwa hiyo hawana kosa lolote. Ni suala la kiusalama zaidi. Kwanini ufike rush hours. No, siku nyingine uache uzembe bhana, unagharimu.
 

Kwa hili hapana, ukifika ndani ya dk 40 hawakupokei, why? Ni sheria za kiusalama airport. No rush hours. Tujifunze kuwahi at least ukichelewa sana ni lisaa kabla ndege kuondoka uwe counter. Soma post iko hapo juu ameweka link ina maelekezo namna ya kucheck in.
 

Asante ndugu
 
Angalia condition 7.5

asante sana mkuu ila naomba nikuelimishe kitu kimoja ambacho hujakijua.check in desk inafungwa 40mins before departure.inamaana ikibakia dk 40 kabla ya muda wa ndege kuondoka hakuna abiria atakae pokelewa.ikiwa ina maana kwamba dk 40 kabla wakati check in desk inafungwa boarding gate inafunguliwa.yaani ndiyo muda ambao abiria wanaanza kuingia kwenye ndege.gate la kueleke kwenye ndege (boarding gate) linafungwa dk 10 kabla ya muda wa ndege kuondoka.
mfano:kama ndege inaondoka 12 kamili alfajir,abiria hatapokelewa ifikapo 11 na dk ishirini.lakini endapo abiria aliewahi amekaa na kujisahau hadi ikafika 12 na dk 50,aidha labda alikuwa kalewa na akasinzia chooni,au alitoka nje ya kiwanja,au alikwenda sehemu ambako hakuweza kusikia matangazo ya kuboard ifikapo dk kumi kabla ya muda wa kuondoka yaani 12 kamili hataruhusiwa kusafiri.hii ikiwa ina maana kwamba muda wa dk 10 kabla ya ndege kuondoka milango ya ndege huwa inafungwa na cabin inaanza kuwa pressurized kwa kupaa

kama kuna swali lingine mkuu unaweza kuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…