Fastjet: Kitumbua kuingia mchanga, abiria wakuama, kenya

waltham

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,522
Reaction score
1,045
Mbeya/Dar. Passengers travelling with FastJet Airline have complained of unnecessary cancellations of flights without issuing timely communications.

The furious passengers said repeated acts of cancelling flights by the airline's authority had caused them irreparable loss and unnecessary disturbances.

One of the passengers, Mr Hezekiah Mwakijole, said he incurred a loss together with his family after missing the flight since Friday. Another passenger, who had booked for a flight from Rukwa Region echoed the same sentiments, saying he was supposed to connect his flight only to realise that he couldn't after it was cancelled. "I have surely incurred losses due to lack of proper information," he added.

Songwe International Airport (Sia) manager Valentine Kadeha confirmed the postponement of the FastJet flight.

FastJet agents operating here declined to give comments on the problem; instead they were busy at the airport providing services to customers who arrived for booking although it was still unclear if they were ready to settle problems that had risen. However, information obtained on their Facebook page attributed the problem to a hiccup that occurred to one of its jets in Mwanza due to a mishap in its engine.

Meanwhile at least 38 passengers, including 10 international travellers are stranded in Tabora after an Air Tanzania jet's engine failure at Itigi area on Saturday.

Speaking to The Citizen yesterday, one of the stranded passengers, Mr Charles George, said that the plane, flight TC 119, failed to continue with the journey to Dar es Salaam while in air at 15.45hrs after one of its engines failed. The plane was forced to return to the airport where it crash-landed.
WAKO WAPI WENYE KUIMBA SIFA ZA FASTJET, NIWASIKIA LEO VIPI......!!!!!!
 
mkuu,umetoa uzi mzuri sana lakini hapo kwenye bold ndio umemalizia vibaya.umeweka ushabiki as if wewe hupatagi matatizo.nadhani hata wewe katika maisha yako siku huwa hazilingani,leo umepata kingi,kesho umepata kidogo,keshokutwa umekoswa kabisa lakini maisha yanaendelea mbele.matatizo yako kila sehemu.hata kenya airways,emirates,lufthasa,air france,qantas etc etc taja mashirika yote duniani huwa yanakuwa na matatizo.kunakuwa na delays na cancellations.mfano mzuri ni malaysia airlines,ni shirika kubwa sana duniani,kutoka nchi yenye uchumi mkubwa sana tu duniani kulinganisha na wa kwetu,lakini wamepata matatizo makubwa sana,wamepoteza ndege 2 kubwa sana na za gharama sana ambazo hata nchi yetu haina,wamepoteza abiria wao wapendwa sana ambao walijitolea kwa moyo wote kuwahudumia kwa muda mfupi sana.ndani ya miezi minne tu wamepata hasra ya ajabu.matatizo hayapigi hodi,yanaweza kutokea muda wowote na wakati wowote.so,tusishangilie kwa sababu ni fast jet.kumbuka bila wao "kuna akina sisi" wengi sana wasingeweza kupanda ndege.anga wangelisikia tu na kuwa wanaziona zinapita juu.leo hii hata machinga kapanda ndege,muokota chupa za maji kapanda ndege,konda wa daladala kapanda ndege etc etc.mbona tunawaponda wakati wa shida?ilhali tuliwasifu wakati wa raha?walipotuweka angani kwa mara yetu ya kwanza kwa tsh 32,000/=tu tulishangilia na kushukuru Mungu?leo vi matatizo hivi viwili tumeshawaona mashetani?kabla yao precission air ilikuwa 370,000/= one way hapo umekata mapema.go&return ilikuwa laki tano na sabini.lakini leo hii hata ukichelewa kukata fastjet hiyo laki tatu na sabini inakuwa go and return.huoni wameturahisishia maisha?huu ni unafiki mkuu.

to hell,you are a sadist...kazi yako ni kufurahia matatizo ya wengine.

Maadui wa Fastjet utawajua tu.Na dalili za kuanza mchecheto juu ya ujio wa Fastjet zilianza mapema sana.Kwa sie wazoefu hatushangai hizi njama za kizamani.

Na wapo kibao wamejipanga kuharibu,lakini Mungu yu pamoja na anefanya vizuri.
Matatizo kama haya ukisema uhamishe kesi za Precision Air na ATCL uandike humu juu ya cancellations basi nikikupa hata miezi sita humalizi kujaza kesi zao kwa wingi.

FASTJET itaendelea tu kuwa Fastjet,hata BA huwa zina cencell itakuwa wao?

FASTJET MPANGO MZIMA,UNAPANDA NDEGE UNAONA KWELI UPO KWENYE NDEGE YA KISASA,sio hizo Scrapers
 
Nadhani sasa Dr Harrison Mwakyembe watupie Jicho Fastjet. Mimi mwenyewe ilitokea mwezi uliopita nikapigiwa simu kwamba wanaomba nihairishe safari nisafiri kesho yako kwana ndige Alhamisi 25 isingefanya kazi badala yake ingekuja tarehe 26 Ijumaa. Hivyo wangetoa kipaumbele kwa abiria waliotakiwa kusafiri Alhamisi na sisi wa Ijumaa kusogezwa siku za mbele. Nilikuwa lazima nisafiri kuhudhuria mafunzo ambayo ilikuwa ni Jumamosi na Jumapili. Niliwambia wanitafutie usafiri alternative au la lazima nisafiri kama nilivyobook before. Hapo ndipo muhudumu aliniambia kwamba basi hiyo Ijumaa niwahi mapema kwani abiria watakuwa wengi na wapo watakaobakizwa. Nilifika Songwe saa tano asubuhi na nilikuwa wa kwanza nikapanga foleni mlango wa kuingilia kuisubiri ndege ya saa 11 jioni. Bahati Nzuri niliweza kusafiri sasa waliokuja nyuma yangu nahisi walibaki watu tulikuwa wengi.

Sasa Basi sababu ya hitilafu ya ndege ndo inayotolewa siku zote wanazohairisha safari lakini mara nyingine si kweli waongo wakubwa. Nasema hivi kwa sababu ilinitokea tena wakati wamekuja wachezaji wa real madrid ndege ilikudiwa ghafla kuwapeleka KIA halafu hawakutupa taarifa abiria. Tunafika Airport ndo wanatwambia ndege imepata hitilafu. kwa bahati nzuri sana yupo abiria aliyekwisha tonywa na mtu wa huko fastjet kuwa ilikodiwa kupeleka wachezaji. Ilizuka vurugu kiasi lakini mwisho wake hakukuwa na la kufanya tukaamua kuchukue tax wengine na kurudi mahotelini na gharama juu yetu wala hawarejeshi kungoja kuondoka kesho yake.

Fastjet kwa sasa ni SHEEEEEEEEEEEEEEDA
 
Ahh,eti hii nayo ni kesi
Jamani kama mmelipwa mtuambie na sie tuwafuate hao,maana tutaponda ile mbaya.
Mgao jamani.
 
Unajua humu kuna mamluki wa Precision Air na ATCL.
Maana jana uliwekwa uzi wa Precision Air kuhusu kuuza ndege zao,hali mbaya.
Leo watu wamechomekea na wao ili kujibu mapigo.

Huu ni ushindani wa kishamba kweli,kwa mwenye uzoefu wa kutumia FASTJET anaona ni wapuuzi tu.Ila kwa ambae hajatumia naona kama mpo sawa.

Vinara wa kesi za namna hii wanajulikana ni ATCL na PW(Precision Air)
Kwa tafsiri ni kwamba

ATC
A = Any
T = Time
C = Cancel,without information,So
L = Leave

PW:
P = Please
W=Wait,another flight is comming to pick you up

Tumweni Saana na hao jamaa,posho zenu mmezopewa.

bado FASTJET flights hazijawa na mshindani kwa hapa Nchini,ukitaka kujua kesi zao baso Compare na kesi za washindani wao.Kama hujui Ingia kwenye Travel Forums uone balaa la kero za ATCL na PW

Halafu tujuzane,ndege tumeanza kupanda ukubwani au age ya under 10?

Maana hata Carriers wakubwa kama BA na KLM wana re route flights baadhi ya siku.Na hata ikiwezekana kubadilisha Carrier na kumpa mwenzake kwenye Ugum wa tatizo la Flights Back up.
 
mkuu,umetoa uzi mzuri sana lakini hapo kwenye bold ndio umemalizia vibaya.umeweka ushabiki as if wewe hupatagi matatizo.nadhani hata wewe katika maisha yako siku huwa hazilingani,leo umepata kingi,kesho umepata kidogo,keshokutwa umekoswa kabisa lakini maisha yanaendelea mbele.matatizo yako kila sehemu.hata kenya airways,emirates,lufthasa,air france,qantas etc etc taja mashirika yote duniani huwa yanakuwa na matatizo.kunakuwa na delays na cancellations.mfano mzuri ni malaysia airlines,ni shirika kubwa sana duniani,kutoka nchi yenye uchumi mkubwa sana tu duniani kulinganisha na wa kwetu,lakini wamepata matatizo makubwa sana,wamepoteza ndege 2 kubwa sana na za gharama sana ambazo hata nchi yetu haina,wamepoteza abiria wao wapendwa sana ambao walijitolea kwa moyo wote kuwahudumia kwa muda mfupi sana.ndani ya miezi minne tu wamepata hasra ya ajabu.matatizo hayapigi hodi,yanaweza kutokea muda wowote na wakati wowote.so,tusishangilie kwa sababu ni fast jet.kumbuka bila wao "kuna akina sisi" wengi sana wasingeweza kupanda ndege.anga wangelisikia tu na kuwa wanaziona zinapita juu.leo hii hata machinga kapanda ndege,muokota chupa za maji kapanda ndege,konda wa daladala kapanda ndege etc etc.mbona tunawaponda wakati wa shida?ilhali tuliwasifu wakati wa raha?walipotuweka angani kwa mara yetu ya kwanza kwa tsh 32,000/=tu tulishangilia na kushukuru Mungu?leo vi matatizo hivi viwili tumeshawaona mashetani?kabla yao precission air ilikuwa 370,000/= one way hapo umekata mapema.go&return ilikuwa laki tano na sabini.lakini leo hii hata ukichelewa kukata fastjet hiyo laki tatu na sabini inakuwa go and return.huoni wameturahisishia maisha?huu ni unafiki mkuu.

to hell,you are a sadist...kazi yako ni kufurahia matatizo ya wengine.

good riddance......JF kila siku Kenya bashing maniacs kama wewe.........taste of your own medicine...
 
Back
Top Bottom