Tihihihi.... Nenda kasukume Bajaaji kwanza huko KIA Arusha.... Imetoka kwanza????KQ nayo imezidi kuuzia watu mbuzi kwenye gunia. Kwa bei hizi, hata wao hukumu yao iko njiani.
Tihihihi.... Nenda kasukume Bajaaji kwanza huko KIA Arusha.... Imetoka kwanza????
What is different kwani?? Kutoka 2012 geza ameshinda akisema KQ inakufa KQ inakufa wapi ......KQ nayo imezidi kuuzia watu mbuzi kwenye gunia. Kwa bei hizi, hata wao hukumu yao iko njiani.
Sasa hyo ni kitu ya kujivunia ???Hoja zimeenda likizo eh...? umesahau juzi tuu, kale ka-runway kenu kilifungwa kwa kuwa kandege ka kisomali kame anguka kwenye runway? KIA and Dar ndio zilizo wafichia aibu, msoma ndugu yako anavyo lalamika.
View attachment 442385
Shule ni ya akina nyinyi Sammuel999, lakini kwanini hawakwenda huko unako kusema instead imebidi waende "kuwalipa" nchi nyingine ndio kuokowa siku. Kenya sio kisiwa, haiwezi kujitosheleza kwa kila kitu.Sasa hyo ni kitu ya kujivunia ???
Smh ongea ni kama umeenda shule ...
Secondly kuna airport Mombasa na Eldoret ambazo ni international wacha sifa za kijinga
Kama picha zingekuwa ndio future ya KQ , ungekuwa umewasaidia KQ sana. The numbers ndio shida ya KQ, hesabu zinakataza ku-balance. Tatizo ndio kama hilo nililo weka, they're just too expensive. Mnaweza kuwepo tokea1940s, lakini hiyo sio sababu ya kusema kama KQ ni imara. kama maji yakizidi kwenye changaa, ndio basi tena, hiyo sio changaa tena. There more players on the game now, na wanatoa huduma bora na kwa bei nafuu. Air industry, huwezi kukabwa na madeni mwaka hadi mwaka ukitegemea utaendelea kuwepo uwanjani unapeta.What is different kwani?? Kutoka 2012 geza ameshinda akisema KQ inakufa KQ inakufa wapi ......
Sai Haonekani hapa
Ana like ma comments za ufala chini ya woyes ...
KQ imekaa toka 1st flight ya Eastleigh Airbase 1946 kwenda Capetown na Johanessburg Alafu London
Wakati EaC ilivunjika Shirika zingine zote zikafaa KQ ikabaki Imara
Ethiopia pia Ilianza wakati same na KQ 1945
Sai 2016
Africa ni SAA KQ n ET
rwandair imeanza
North Africa ni Tunisia Egypt Algeria Na Morocco
Egypt pekee ndio Kubwa na Morocco na Tunisia wana more destinations
Mauritius Pia ina airline
Kuna 1.3bn africans
KQ itapaa mpende msipende ..hii loss ni kwa mda na Ikiisha hamta penda
KQ over Kisumu city
View attachment 442490
KQ in Nigeria
View attachment 442491
JKIA
View attachment 442492View attachment 442493View attachment 442494
Shule ni ya akina nyinyi Sammuel999, lakini kwanini hawakwenda huko unako kusema instead imebidi waende "kuwalipa" nchi nyingine ndio kuokowa siku. Kenya sio kisiwa, haiwezi kujitosheleza kwa kila kitu.
Yes zilikuja mpaka Tanzania. Mombasa na Eldoret hawana capacity to hold all the flights meant to go to JKIN.For your information, all flights were diverted to Moi International Airport, Mombasa and Eldoret International Airport. Ulisikia any plane was diverted to JNIA??
Yes zilikuja mpaka Tanzania. Mombasa na Eldoret hawana capacity to hold all the flights meant to go to JKIN.