Fastjet kupunguza idadi ya safari za ndani ya EAC

Fastjet kupunguza idadi ya safari za ndani ya EAC

KQ nayo imezidi kuuzia watu mbuzi kwenye gunia. Kwa bei hizi, hata wao hukumu yao iko njiani.

ae8f6928e7afb209c685d567289583ad.jpg
Tihihihi.... Nenda kasukume Bajaaji kwanza huko KIA Arusha.... Imetoka kwanza????
 
Tulieni Air Industry sio Barbara,Fastjet wanajua ndio maana hata CEO wao tofauti na wetu,
Nitawaletea cv yake siyo muda mrefu,jamaa achaneni nao,Ujinga wa ATC unampa kazi Director of operation form four, kisa tu ni Captain@Shaid,Muze,Rip Mazura,tunahitaji kubadilika.
 
CEO wa ATCL toa wajinga hao wanaofanya kazi kwa mazoea,kuna wazee hapo umri wa kustaafu umewapita kila siku wanabadilisha vyeti vya kuzaliwa,usipochukua hatua utangukia pua
 
Tihihihi.... Nenda kasukume Bajaaji kwanza huko KIA Arusha.... Imetoka kwanza????

Hoja zimeenda likizo eh...? umesahau juzi tuu, kale ka-runway kenu kilifungwa kwa kuwa kandege ka kisomali kame anguka kwenye runway? KIA and Dar ndio zilizo wafichia aibu, msoma ndugu yako anavyo lalamika.

JKIA Runaway.JPG
 
Alot of factors to play there, most of those are one stop while KQ is non stop. Look at the difference in arrival times and other in-flight differences
 
KQ nayo imezidi kuuzia watu mbuzi kwenye gunia. Kwa bei hizi, hata wao hukumu yao iko njiani.

ae8f6928e7afb209c685d567289583ad.jpg
What is different kwani?? Kutoka 2012 geza ameshinda akisema KQ inakufa KQ inakufa wapi ......

Sai Haonekani hapa

Ana like ma comments za ufala chini ya woyes ...

KQ imekaa toka 1st flight ya Eastleigh Airbase 1946 kwenda Capetown na Johanessburg Alafu London

Wakati EaC ilivunjika Shirika zingine zote zikafaa KQ ikabaki Imara
Ethiopia pia Ilianza wakati same na KQ 1945
Sai 2016

Africa ni SAA KQ n ET

rwandair imeanza

North Africa ni Tunisia Egypt Algeria Na Morocco
Egypt pekee ndio Kubwa na Morocco na Tunisia wana more destinations

Mauritius Pia ina airline

Kuna 1.3bn africans

KQ itapaa mpende msipende ..hii loss ni kwa mda na Ikiisha hamta penda

KQ over Kisumu city
1480827156895.png

KQ in Nigeria
1480827199127.png

JKIA
1480827372759.jpg
1480827390006.jpg
1480827442334.jpg
 
Hoja zimeenda likizo eh...? umesahau juzi tuu, kale ka-runway kenu kilifungwa kwa kuwa kandege ka kisomali kame anguka kwenye runway? KIA and Dar ndio zilizo wafichia aibu, msoma ndugu yako anavyo lalamika.

View attachment 442385
Sasa hyo ni kitu ya kujivunia ???

Smh ongea ni kama umeenda shule ...

Secondly kuna airport Mombasa na Eldoret ambazo ni international wacha sifa za kijinga
 
Sasa hyo ni kitu ya kujivunia ???

Smh ongea ni kama umeenda shule ...

Secondly kuna airport Mombasa na Eldoret ambazo ni international wacha sifa za kijinga
Shule ni ya akina nyinyi Sammuel999, lakini kwanini hawakwenda huko unako kusema instead imebidi waende "kuwalipa" nchi nyingine ndio kuokowa siku. Kenya sio kisiwa, haiwezi kujitosheleza kwa kila kitu.
 
What is different kwani?? Kutoka 2012 geza ameshinda akisema KQ inakufa KQ inakufa wapi ......

Sai Haonekani hapa

Ana like ma comments za ufala chini ya woyes ...

KQ imekaa toka 1st flight ya Eastleigh Airbase 1946 kwenda Capetown na Johanessburg Alafu London

Wakati EaC ilivunjika Shirika zingine zote zikafaa KQ ikabaki Imara
Ethiopia pia Ilianza wakati same na KQ 1945
Sai 2016

Africa ni SAA KQ n ET

rwandair imeanza

North Africa ni Tunisia Egypt Algeria Na Morocco
Egypt pekee ndio Kubwa na Morocco na Tunisia wana more destinations

Mauritius Pia ina airline

Kuna 1.3bn africans

KQ itapaa mpende msipende ..hii loss ni kwa mda na Ikiisha hamta penda

KQ over Kisumu city
View attachment 442490
KQ in Nigeria
View attachment 442491
JKIA
View attachment 442492View attachment 442493View attachment 442494
Kama picha zingekuwa ndio future ya KQ , ungekuwa umewasaidia KQ sana. The numbers ndio shida ya KQ, hesabu zinakataza ku-balance. Tatizo ndio kama hilo nililo weka, they're just too expensive. Mnaweza kuwepo tokea1940s, lakini hiyo sio sababu ya kusema kama KQ ni imara. kama maji yakizidi kwenye changaa, ndio basi tena, hiyo sio changaa tena. There more players on the game now, na wanatoa huduma bora na kwa bei nafuu. Air industry, huwezi kukabwa na madeni mwaka hadi mwaka ukitegemea utaendelea kuwepo uwanjani unapeta.

Ukitaka kuokoa KQ chukua tip kutoka kwa Richard Branson.

dc74f60912b54038768000766953e937.jpg
 
Shule ni ya akina nyinyi Sammuel999, lakini kwanini hawakwenda huko unako kusema instead imebidi waende "kuwalipa" nchi nyingine ndio kuokowa siku. Kenya sio kisiwa, haiwezi kujitosheleza kwa kila kitu.

For your information, all flights were diverted to Moi International Airport, Mombasa and Eldoret International Airport. Ulisikia any plane was diverted to JNIA??
 
For your information, all flights were diverted to Moi International Airport, Mombasa and Eldoret International Airport. Ulisikia any plane was diverted to JNIA??
Yes zilikuja mpaka Tanzania. Mombasa na Eldoret hawana capacity to hold all the flights meant to go to JKIN.
 
Back
Top Bottom