Yeah wamejitahidi sana hata wasafiri wa ndege wameongezeka
Ndio huwa napenda tumia kwa hapa nchini kwani hawachelewi wala kufuta safari zao, ndege zao kubwa na siti unajichagulia.hongera sana kiongozi kumbe nawe ni mteja wa FASTjet
Ndio huwa napenda tumia kwa hapa nchini kwani hawachelewi wala kufuta safari zao, ndege zao kubwa na siti unajichagulia.
Nitaendelea zipanda sababu kwenye kukata ticket hawasumbui sana ukishakuwa na ref namba basi wapanda
dah! Sawa bana
hv dar mpaka mbeya ni masaa mangapi kwa FastJet?
Wala sio masaa mkuu, ni SAA MOJA NA DAKIKA 15 hivi! Hongera Fast Jet...
Nadhani ni saa moja maana sijawahi kwenda Mbeyadah! Sawa bana
hv dar mpaka mbeya ni masaa mangapi kwa FastJet?