The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Wala sio masaa mkuu, ni SAA MOJA NA DAKIKA 15 hivi! Hongera Fast Jet...
Kwa siku wana local flights ngapi na zinaenda wapi na wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala sio masaa mkuu, ni SAA MOJA NA DAKIKA 15 hivi! Hongera Fast Jet...
Wanaenda Mbeya, Kilimanjaro Na Mwanza kutokea Dar na Zanzibar wakitokea Kilimanjaro.
Ikoje kwa siku? Flights ngapi?kuna kwenda na kurudi in a day?
Hongera sana tena sana,zamani kabla ya FJ ndege walikuwa wanapenda waheshimiwa tu na wenye nazo siku hizi aka napanda na hata na housegeli wangu,wakati hao wengine eti wanaaznisha kulipia kwa USD$ au fedha iliyosawa na hicho kiwango cha USD na kiwango cha USD ni cha kwao,siku hizi breakfast Mbeya ,msosi wa jioni Mbagala .
fastjet wakijipanga vizuri wanaweza kuiua hata ATCL na urasimu wao wa kijinga, wafanyakazi wazee (No innovation) wamekalia kuwaza posho tu
fastjet sasa wanapaswa kuongeza ndege waende mtwara, Nairobi &Zanzibar kuwamaliza precision
Wanasema Zanzibar ni route fupi sana kwa ndege zao za Airbus hiyo si rahisi kuanzisha route hiyo maana ndege haijatulia angani tayari mmefika. Sina uhakika na Mtwara, labda uwanja wa ndege si muafaka sana.