Ebu tupe maelezo mkuu ya iyo attachement,sijawahi fika kIA,waliiingiaje awo wamachinga adi karibu na ndege kunadi bidhaa zao?Mkuu hiyo mbona ishatokea KIA watu tulikaa kimya tuu yaani sasa hivi ndege zimepanda wapandaji
Fungua attachment hiyo
Mkuu hiyo mbona ishatokea KIA watu tulikaa kimya tuu yaani sasa hivi ndege zimepanda wapandaji
Fungua attachment hiyo
kweli kabisa ila naona watu wanashabikia bila kuwa na ushaidi, Dar-KIA-Dar ni 198000 lakini bado kuna masharti kibao kama kutorudisha nauli ukiahirisha safari, kulipia mziko wako wa kawaida,ukichelewa kidogo ndege inakuachaJamaa hawana bei ya chini wala nn! Usanii 2
wewe inaonekana uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo,jitahidi usafiri kwenye nchi zenye mwanga kidogo ubongo utapata mwanga
,delay kwenye airline yoyote ni kitu cha kawaida,wabongo wengi tumelakla sana,amkeni mtembee kidogo
Habari zenu wanajamvi,
Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet,
1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli,
Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000 ,nimepiga simu wanasema ni Tsh107000=.
2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,
3.majibu yao kwa ujumla wanaonekana kama abiria wanaopanda hiyo ndege wanapanda bure,au ni kama msaada flani,hawamthamini abiria kabisa,
4.Watanzania wenzangu tunaofanya hapo fastjet na wateja ebu jaribuni kuipa thamani pesa yetu ilingane na huduma tunayopewa na tunayotoa kwa wateja,hatuhitaji msaada wenu,
Mwenye kero kama zangu tiririka hapa
Mkuu hiyo mbona ishatokea KIA watu tulikaa kimya tuu yaani sasa hivi ndege zimepanda wapandaji
Fungua attachment hiyo
Hili nipo uande waoHabari zenu wanajamvi,
...
2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,...
Malalamiko juu ya fastjet lazma yawe mengi manake yanahusisha watu ambao hawana uzoefu wa kutumia ndege Sikonge. Umenichekesha manake uhuni huo nishauona kwenye airline moja sio ya tz, ati ndege imekuwa overbooked. Kumbe kuna mhuni kaja kapewa ticket chapchap, ilisababisha delay ya an hour nikabaki nashangaa.
Hiyo ya kutangaza tshs 32,000/= bila kutaja hidden costs ni yale yale ya kina vodacom kusema ni tshs 1 kwa sekunde, na masharti na vigezo kuzingatiwa. Hapo ikichajiwa kodi na sijui dk ya kwanza ina masharti yake ndo wanapokuvuna. Seriously unategemea usafiri kwa tshs 32,000/= kama ndege haitumii mafuta jamani!
sio kweli wadogo zangu walikua wanaenda mwanza na wamachelewa almost 15 min lkn walifanyiwa checking.... ila swala la bei kweli maana they paid 123000 kila moja kama nauli n still wakalipishwa hela ya mizigo without forgeting ndani ya airplane hakuna free service kama.ni soda hata maji vyote utatakiwa kuvinunua.