Fastjet ni kero tupu!

Fastjet ni kero tupu!

Ha ha ha, kaz kwelikweli, no har in africa ndo itawakomesha wabongo, kila ck mtaishia kulalama
 
Mkuu hiyo mbona ishatokea KIA watu tulikaa kimya tuu yaani sasa hivi ndege zimepanda wapandaji
Fungua attachment hiyo
Ebu tupe maelezo mkuu ya iyo attachement,sijawahi fika kIA,waliiingiaje awo wamachinga adi karibu na ndege kunadi bidhaa zao?
 
Jamaa hawana bei ya chini wala nn! Usanii 2

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu hiyo mbona ishatokea KIA watu tulikaa kimya tuu yaani sasa hivi ndege zimepanda wapandaji
Fungua attachment hiyo

Hao jamaa wako uwanja gani! Hapa tz
 
Jamaa hawana bei ya chini wala nn! Usanii 2
kweli kabisa ila naona watu wanashabikia bila kuwa na ushaidi, Dar-KIA-Dar ni 198000 lakini bado kuna masharti kibao kama kutorudisha nauli ukiahirisha safari, kulipia mziko wako wa kawaida,ukichelewa kidogo ndege inakuacha
 
Kama wamekuacheni rudini mkapande coaster ziko nyingi ziendazo mikoani...na DCD za G'mboto pia zitaanza trip za mikoani,ondoa shaka.
 
wewe inaonekana uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo,jitahidi usafiri kwenye nchi zenye mwanga kidogo ubongo utapata mwanga

,delay kwenye airline yoyote ni kitu cha kawaida,wabongo wengi tumelakla sana,amkeni mtembee kidogo

Hii Fastjet itafundisha Watanzania discipline.
 
Habari zenu wanajamvi,

Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet,

1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli,
Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000 ,nimepiga simu wanasema ni Tsh107000=.

2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,

3.majibu yao kwa ujumla wanaonekana kama abiria wanaopanda hiyo ndege wanapanda bure,au ni kama msaada flani,hawamthamini abiria kabisa,


4.Watanzania wenzangu tunaofanya hapo fastjet na wateja ebu jaribuni kuipa thamani pesa yetu ilingane na huduma tunayopewa na tunayotoa kwa wateja,hatuhitaji msaada wenu,

Mwenye kero kama zangu tiririka hapa

Babu ndege sio basi la green star kuna madaraja so likijaa la kajamba nani huku kwa 32000 basi utapata kwa ghali. Sema wabongo hatujui timing wakisema saa 8 ww waja saa9. Basi wakusaidiaje labda kodi taxi fukuzia utawakuta kibamba
 
Mkuu siku nyingine uwahi.

Hiyo 32,000 lazima ufanye booking mapema. ukitaka kuparamia ndege kama daladala lazima Na wewe wakubamize kwa bei
 
Ndege yenyewe inaitwa FAST JET alafu nyie mnaremba unategemea nini hapo.mambo fastafast nyie mnaleta ulegelege,ndio maana hata msaada wenyewe wa ndege tunaona ni vitu vigeni sababu ya huu uzembe wa kuchelewa kwenye kila kitu.mambo FASTAFASTA,
 
Mkuu usijal bado uko kwenye transition itafika mda utazoea tu coz kutoka kwenye chakito au ngorika mpaka kuruka na mwewe si kitu kidogo t needs enough time..si wenzako tushazoea toka zamaan coz toka watoto tulikua tunatumia sana mwewe yan ulaya kama unaenda ilala..don gve up ndo maisha yalivo
 
Habari zenu wanajamvi,

...
2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,...
Hili nipo uande wao
 
Malalamiko juu ya fastjet lazma yawe mengi manake yanahusisha watu ambao hawana uzoefu wa kutumia ndege Sikonge. Umenichekesha manake uhuni huo nishauona kwenye airline moja sio ya tz, ati ndege imekuwa overbooked. Kumbe kuna mhuni kaja kapewa ticket chapchap, ilisababisha delay ya an hour nikabaki nashangaa.
Hiyo ya kutangaza tshs 32,000/= bila kutaja hidden costs ni yale yale ya kina vodacom kusema ni tshs 1 kwa sekunde, na masharti na vigezo kuzingatiwa. Hapo ikichajiwa kodi na sijui dk ya kwanza ina masharti yake ndo wanapokuvuna. Seriously unategemea usafiri kwa tshs 32,000/= kama ndege haitumii mafuta jamani!

Mi nina wasiwasi na mleta mada. Reporting time ni two hours before departure time. Fast jet wanataka 40 minutes before take off uwe ume check in. Sasa hiyo dakika 1 aliyochelewa ilikuwa ni baada ya time ipi? Halafu kama kuna emergence kuna taratibu zake za kutoa taarifa.
 
Last edited by a moderator:
sio kweli wadogo zangu walikua wanaenda mwanza na wamachelewa almost 15 min lkn walifanyiwa checking.... ila swala la bei kweli maana they paid 123000 kila moja kama nauli n still wakalipishwa hela ya mizigo without forgeting ndani ya airplane hakuna free service kama.ni soda hata maji vyote utatakiwa kuvinunua.
 
sio kweli wadogo zangu walikua wanaenda mwanza na wamachelewa almost 15 min lkn walifanyiwa checking.... ila swala la bei kweli maana they paid 123000 kila moja kama nauli n still wakalipishwa hela ya mizigo without forgeting ndani ya airplane hakuna free service kama.ni soda hata maji vyote utatakiwa kuvinunua.

Duh... wanalipishwa mizigo kuanzia uzito gani?? Isijekuwa hata handbag mtu unalipishwa :lol:
 
Back
Top Bottom