Fastjet ni kero tupu!

Fastjet ni kero tupu!

ukichelewa ndege hakuna kuoneana huruma,nilichelewa ndege washington dc kwenda paris,ilitakiwa nifike masaa 2 kabla mi nikafika saa 1 na dk 40 kabla,yani nilichelewa dk 20 tu wakachomoa kabisa,hivo mkuu malalamiko yako hayana nguvu apa na hiyo fastjet 32000 ni one way bila vat,ukitaka return inaongezeka pia wakiweka kodi za gvt inaongezeka,muwe mnawai safari mkichelewa msilalamike
 
Waache hizo,, watu tushachelewa qatar, ndege ya saa 7 tumefika airport saa 6 tulikuta wameshafunga sehem zao za check in na computer zimeshazimwa lakini walikuja wakawasha computer na waka print sticker zao za mabeg tukafanyiwa check in fasta as emergence na tukaingia as kama tulikuwa tunasubiriwa sisi as tulivyoingia tu ndo ndege ikafungwa na kuanza kuondoka..

Sembuse hao wa dakika 1,,, sizani kama kuna ndege inamtosa abiria kwa dakika 1... Na hata KLM nilishachelewa ORD na bado hawakufunga fasta tukafanyiwa check in na tukaingia...

Kila abiria wakimtosa kuchelewa si itakuwa balaa kwenye connections mfano you have almost 3 connections to final destinations so ukiikosa ndege ya kwanza transit zote zinaharibika as sio kila sehemu kuna daily flights.. Mfano ukiachwa na turkish may be in chicago inabid usubiri 2 days kupata connection ya turkish from instanbul to dar si balaa hilo na kama imejaa si wiki nzima inakula kwako upo airport tu...

Hao fast jet hata kama ni ku keep time wamezidi maana hata international airline hazipo systematic kiasi hicho

Ndo mana wanaitwa FASTJET; mjifunze kuwahi. Naona hii kiboko ya waswahili kila kitu legelege
 
Duh... wanalipishwa mizigo kuanzia uzito gani?? Isijekuwa hata handbag mtu unalipishwa :lol:

hata 20kgs zilikua hazijafika wanasema hela unayolipia wakati wa kukata ticket chargez za mizigo huwa ziko excluded hizo utalipia airport wakishapima mizigo yako
 
Kwa suala la bei hii inajulikana kuwa ukiwahi kukata tiketi bei huwa chini na unapochelewa bei huwa inapanda.Swala la kuchelewa huo ni uzembe wa abiria wenyewe,hapo sioni kosa la fastjet!
 
Habari zenu wanajamvi,

Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet,

1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli,
Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000 ,nimepiga simu wanasema ni Tsh107000=.

2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,

3.majibu yao kwa ujumla wanaonekana kama abiria wanaopanda hiyo ndege wanapanda bure,au ni kama msaada flani,hawamthamini abiria kabisa,

4.Watanzania wenzangu tunaofanya hapo fastjet na wateja ebu jaribuni kuipa thamani pesa yetu ilingane na huduma tunayopewa na tunayotoa kwa wateja,hatuhitaji msaada wenu,

Mwenye kero kama zangu tiririka hapa

Hapo wabongo wanapewa somo la 'Punctuality' ili watokane na fikra ya 'Time flies but not in Africa' Ni lazima tuzingatie muda.

Pia ukumbuke hapa Tz kuna kodi lukuki kama airport tax, fuel tax.............
 
Waache hizo,, watu tushachelewa qatar, ndege ya saa 7 tumefika airport saa 6 tulikuta wameshafunga sehem zao za check in na computer zimeshazimwa lakini walikuja wakawasha computer na waka print sticker zao za mabeg tukafanyiwa check in fasta as emergence na tukaingia as kama tulikuwa tunasubiriwa sisi as tulivyoingia tu ndo ndege ikafungwa na kuanza kuondoka..

Sembuse hao wa dakika 1,,, sizani kama kuna ndege inamtosa abiria kwa dakika 1... Na hata KLM nilishachelewa ORD na bado hawakufunga fasta tukafanyiwa check in na tukaingia...

Kila abiria wakimtosa kuchelewa si itakuwa balaa kwenye connections mfano you have almost 3 connections to final destinations so ukiikosa ndege ya kwanza transit zote zinaharibika as sio kila sehemu kuna daily flights.. Mfano ukiachwa na turkish may be in chicago inabid usubiri 2 days kupata connection ya turkish from instanbul to dar si balaa hilo na kama imejaa si wiki nzima inakula kwako upo airport tu...

Hao fast jet hata kama ni ku keep time wamezidi maana hata international airline hazipo systematic kiasi hicho

teh hehe he! We utakua wa kuleee... Maana umeulizwa ya fast jet na kuchelewa dk.1, we unaleta mambo ya connection za Chicago na Durban. Haya ni maajabu ya kipofu kuuona mwezi. Mbona umesahau kutaja connections za kutoka Delhi to Manchester or Dubai....!???????????
 
hata 20kgs zilikua hazijafika wanasema hela unayolipia wakati wa kukata ticket chargez za mizigo huwa ziko excluded hizo utalipia airport wakishapima mizigo yako

upunguze kutumia mizani ya kichina. Na hyo ni ndege husifananishe na yale mabasi ya Ubungo yanayobeba mpaka kuku na bata kwenye boot.
 
Habari zenu wanajamvi,

Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet,

1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli,
Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000 ,nimepiga simu wanasema ni Tsh107000=.

2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,

3.majibu yao kwa ujumla wanaonekana kama abiria wanaopanda hiyo ndege wanapanda bure,au ni kama msaada flani,hawamthamini abiria kabisa,

4.Watanzania wenzangu tunaofanya hapo fastjet na wateja ebu jaribuni kuipa thamani pesa yetu ilingane na huduma tunayopewa na tunayotoa kwa wateja,hatuhitaji msaada wenu,

Mwenye kero kama zangu tiririka hapa

KATAFUTE KAMUSI USOME MAANA YA HILI NENO "FAST", UKIMALIZA ONGEZEA NA HILI "JET". Alafu ndo'upate maana kiujumla na jawabu la kuchelewa kwako.
 
Habari zenu wanajamvi,

Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet,

1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli,
Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000 ,nimepiga simu wanasema ni Tsh107000=.

2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,

3.majibu yao kwa ujumla wanaonekana kama abiria wanaopanda hiyo ndege wanapanda bure,au ni kama msaada flani,hawamthamini abiria kabisa,

4.Watanzania wenzangu tunaofanya hapo fastjet na wateja ebu jaribuni kuipa thamani pesa yetu ilingane na huduma tunayopewa na tunayotoa kwa wateja,hatuhitaji msaada wenu,

Mwenye kero kama zangu tiririka hapa

Cc FJM fast jet manager
teeehee teehee
 
Last edited by a moderator:
Unalipa 32000 au hata 100,000,kwenda kurudi kj na unachelewa???nyie ndio wapuuzi wote 8,mshafanya hilo daladala.basi la mkoa lenyewe halisubiri abiria itakua ndege.nawapa sifa hao staff maana wangewaendekeza nyie itakuwa taabu mtataka hata kutumiwa gari nyumbani kuwachukua na buku 30 zenu nyambaf.

Ndo maana wabongo tuko nyuma,hatupendi kufuata utaratibu,mtu anataka ndege imsubiri,watu wanataka kuleta kujuana kwenye biashara,safi sana fastjet.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cc FJM fast jet manager
teeehee teehee

Nawapongeza waalim wote, maana kazi ya kufindisha si mchezo. Hili somo la Fastjet/low-cost carrier limetolewa hapa JF kwa muda mrefu lakini mwezi mmoja baadaye bado watu wanauliza maswali yale yale!

Jambo moja ambalo FastJet linaweza kutusaidia ni kuwa more organised na kujali muda. Ukiambiwa saa 07:00 maana yake sio saa 07:01!
 
Ni kweli mashirika makubwa ya ndege husubiri kama ukiwa na udhuru si lazima uwe boss, hata agent anaweza kusaidia, nilishawahi kusubiriwa na Gulfair pale Istanbul kwa dk 25 nilipoingia tu pilot akatangaza na kuomba radhi abiria milango ikafungwa tukasafiri.
 
Unalipa 32000 au hata 100,000,kwenda kurudi kj na unachelewa???nyie ndio wapuuzi wote 8,mshafanya hilo daladala.basi la mkoa lenyewe halisubiri abiria itakua ndege.nawapa sifa hao staff maana wangewaendekeza nyie itakuwa taabu mtataka hata kutumiwa gari nyumbani kuwachukua na buku 30 zenu nyambaf.

wangewachelewesha kwa nusu saa wangekuja hapa kulalamika ooh fastjet hamna kitu hawaendi na muda waTanzania kwa unafikia
 
Mkuu usijal bado uko kwenye transition itafika mda utazoea tu coz kutoka kwenye chakito au ngorika mpaka kuruka na mwewe si kitu kidogo t needs enough time..si wenzako tushazoea toka zamaan coz toka watoto tulikua tunatumia sana mwewe yan ulaya kama unaenda ilala..don gve up ndo maisha yalivo

Huyu atakuwa wa kule kwetu Kanyigo kama sio Katerelo..
 
Tatizo la abiria wa Fast Jet walishazoea Saibaba na Greenstar sasa wewe unachelewa halafu unawalaumu wao tena mimi nimeshapanda hiyo Fast Jet hizo kero unazozisema sijaziona,kuhusu bei ya 32000 ni mpaka ufanye booking mapema atleast two weeks before ukichelewa then bei ni tofauti (Ambayo bado ipo chini ukilinganisha na kwa Shirima)
 
Ukitaka kukosana na watanzania jali mda katika shughuli zako wengi watashindwa kuendana na mda maana sie tumezoea kupandia basi pale mataa na mbezi au maili moja sasa huku kwenye fastjet cjui tutapandia wapi.
 
Nasikia huko kwenye fast jet hata kuchimba dawa unalipia.,eti ni kweli jamani?
 
Back
Top Bottom