Fastjet PLC inatarajia kuuza hisa zake katika shirika la Fastjet Tanzania

POleni Fast jet. CCM ni msalaba wa jumuia sasa ni zamu yenu ibada kufanyikia kwenu. Hata sisi wengine tumepitia huko na tumezoea. Karibuni uraiani. Kilimo cha ngogwe kinalipa sana huku mtaani. Tenga ni elf 2500 bei nzuri mno.
 
Wachache watakuelewa mkuu!
 
hii ni sehemu ya janga kubwa kwa wasifiri wanaotumia anga ya TZ. siku zote ushindani unafaidisha mtumiaji na kubakia kwake kulikuwa ni changamoto ya ATCL kufanye vizuri. Tuna imani na vya kwetu, yes, lakini tuna uhakika gani kwamba tukiachiwa ndo tutakuwa salama. What if, what if kesho ATCL wakiwa na issue ambayo inapelekea ground ya ndege zao mbili tutakuwa na mbadala upi.. unaweza kushabikia anguko la mshindani lakini likaja kukuvua nguo
 
Ipo precision air mkuu nayo ni ya mzawa tupende vya kwetu kama hao mabeberu wanavyopenda vya kwao!
 
Ulicho nishauli nimekipokea,ni ujinga ulitukuka kudhani kwamba darasa lina kufanya uwe mjuzi wa kirakitu ,ninavyofahamu Mimi hatakusoma tu vitabu inatosha kuwezesha mtu kuelewa ,sasa sijaelewa ushauliwako ulilenga nini,ama nimekosea kusema ninachofahamu ,au nini,nikukumbushe tu nilichokua nasisitiza ni kwamba tunao uwezo wa kufanya mamboyetu mwenyewe bira kutegemea hisani ya MTU mwingine sasa nakushangaa wewe ulie pita darasani na kujielimisha hujui haya pengine ni wivu unakusumbua nikusaidie tu baada ya ujio wa ndege zetu nauli ya milioni moja haipo tena ndiyo maana wewe na wapiga dili wenzako lazima mtuone sisi hatukuhudhulia darasani.
Umeishia darasa gani? Maana hata kuandika sentensi moja iliyo sawa ni tatizo.

Nashauri ujiendeleze kwanza katika kujua kusoma, kuandika na kuhesabu kabla ya kuanza kuchambua hoja zinazohitaji uelewa mkubwa.
 
Mjinga ni mjinga tu ila ni afadhali kuliko mpum*bavu. Unaweza kulinganisha Kenya airways au Ethiopian Airline na ATCL? Magu anatafuta namna ya kuibeba ATCL lakini jitihada hizo ni hapahapa kwa 'wadanganyika'!
wengine nichukizenu binafsi hatuwezi kuwashawishi ,mjinga ni mjinga tu,wenyewe hawa wlianza na ndege 100,ili hoja yako iwe na mashiko ,nijuavyo Mimi walianza na ndege 3,7,10,70 walizonazo sasa wewe kwa ujinga wako unataka tusifanye lolote kwakua hatuwezi kujilinganisha nao ebooo huu ni ujinga mamba ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…