Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,198
Pole pole mtawa mwenzangu, punguza jazba.acha kuropoka wewe...nilitaka kubook safari ya one week ahead...sasa hiyo zimamoto inatoka wapi?? au nawe unaandika tujue nawe umo jf???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole pole mtawa mwenzangu, punguza jazba.acha kuropoka wewe...nilitaka kubook safari ya one week ahead...sasa hiyo zimamoto inatoka wapi?? au nawe unaandika tujue nawe umo jf???
acha kuropoka wewe...nilitaka kubook safari ya one week ahead...sasa hiyo zimamoto inatoka wapi?? au nawe unaandika tujue nawe umo jf???
Kwa hiyo Presicion Air wanataka kuendelea kulangua watanzania kwa mgongo wa 'Fair Competition Commission? Walizoea kuvuruga ATCL sasa wamekutna na wafanyabiashara wa kweli. Usafiri wa anga Tanzania ulibakiwa kuwa kwa matajiri, wengine tunabanana kwenye fusso.
Mungu awape nguvu na maarifa zaidi Fastjet.
Ciello Today 17:03
#7![]()
JF Senior Expert Member Array
Join Date : 7th September 2012
Posts : 2,882
Rep Power : 956
Likes Received1742
Likes Given1629
Uwezo wako wa kuargue ndiyo umeishia hapo? One week ahead ndy unalalama kiasi hicho! Haya Mkuu. Siku nyingine uwe unaingia kwenye website yao unaona tickets za bure ziko kuanzia tarehe ngapi, hiyo inatokana na wingi wa watu, vinginevyo panda basi kwa roho safi.
http://booking.fastjet.com/VARS/Public/FlightSelect.aspx
hahahahahahahahahahahahahahah!!!!wewe uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia kunitrace na kuleta profile yangu hapa...no wonder ur amoeba...thanx anywaya inaonyesha unatambua uwepo wangu humu....siwezi kutrace ur profile coz ur too low 4 m asante kwa kuongeza idadi ya visitors kwenye page yangu...
waongo hawana cha bei nafuu wala nn!! mie jana nimewasiliana nao kwaajili ya trip ya jmos arusha eti ticket za bei rahisi zimeisha..zimebaki za luxury....nikajiuliza safari ya 40 mints nahitaji luxury ya nn?? nikasema ok kwenye wkend ya next week nikajibiwa still nafasi zimejaa...mie nadhani hili lilikuwa changa la macho tu!!!
Ha ha ha.. Ombi lako lipate kibali Mkuu..
zimejaa kweli watu washafanya booking kama miezi miwili ijayo.wakikuambia luxury ndo zimebaki ni kweli kwa sababu ndenge kubwa zina first class ambapo kwa fast jet kwa kuwa watu wanakimbilia unafuu hawatazipenda.waongo hawana cha bei nafuu wala nn!! Mie jana nimewasiliana nao kwaajili ya trip ya jmos arusha eti ticket za bei rahisi zimeisha..zimebaki za luxury....nikajiuliza safari ya 40 mints nahitaji luxury ya nn?? Nikasema ok kwenye wkend ya next week nikajibiwa still nafasi zimejaa...mie nadhani hili lilikuwa changa la macho tu!!!
Low cost airlines zipo hata ulaya, Raynair na easyjet wanachapa kazi na kina Airfrance au british airways hawalalamiki,
PrecisionAir ilianzishwa kwa kuihujumu Air tanzania, Basil mramba as a cabinet minister alikuwa mwenyekiti wa kwanza wa precision air. Let them put up or shut up, Fastjet is here to stay vinginevyo tutayasikia ya fidia nyingine kama za dowans.
Mengi yanasemwa kuhusu usafiri wa kampuni mpya ya ndege ya Fastjet ambayo inatoa huduma hiyo kwa gharama nafuu sana.. bottom line ni kwamba wanatoa huduma hiyo kwa gharama nafuu..
Kilichonistua na kunifanya niandike post hii ni kutokana na habari niliyoina kwenye gazeti la jana la The Guardian ambalo chini ya kichwa cha habari "Fastjet shakes Dar's aviation sector" kuna sehemu ambako mwandishi amemnukuu senior officer mmoja wa Precionair ambae hakutaka jina lake liandikwe na mie ninanukuu.. "This's not competition, this's spoiling the aviation business.. what's happening isn't good for the future of the aviation in Tanzania and hopefully the Fair Competition Commission will intervene"..
Jee ni kweli Fastjet wanachofanya ni kuliharibu soko la usafiri wa anga..? Au ndio mipango ya shirika hili kupigwa vita na kuondolewa hewani kisa tu linatoa huduma za anga kwa bei nafuu..?
Kweli kumekucha Tanzania, Low Cost Carrier (LCC) ziko dunia nzima. Tatizo hatupendi hesabu, Somo la hisabati limewatoka watu hapa. Ukipanda FastJet unalipia mzigo wako na huduma yeyote ukihitaji unalipia humo ndani. Lakini Precision haulipii mzigo tena kwani ulishalipia kwenye tiketi yako na huduma nyingine. Vigezo na msharti vinakua vimezingatiwa.
Hakuna kitu cha bei rahisi hapa, liko wazi kwamba viwanja vyenye uwezo wakupokea ndege kubwa viko vichache tu ambako ndege ndogo kama ATR ndio zinaweza kutua. Huu msimu wa sikukuu ukiisha tutajua mbivu na mbichi.