FastJet Wamekataa Kutubadilishia Ticket

CityInfo

Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
11
Reaction score
4
Kwa Wataalamu wa sheria,

Tulinunua GO and RETURN ticket ya fastjet, leo tumefika airport wahusika waka zi print ticket zetu, then tukajipanga sehemu ya checkin, within ten minutes muhusika wa sehemu ya kuchek in akasema tumechelewa ku check in, hivyo tununue ticket mpya.

Tuliporudi kwenye office fast jet wakasema "haiwezekani watu wa check in watuzuie kuingia ndani wakati muda tulio print ticket ulikuwa bado unaruhusu kuingia kwenye ndege".

Tumejadili nao kwa kirefu watupe ticket za ndege nyingine then tulipe penalty fee ya huo muda wanaodai tumechelewa, wamekataa. Wanasisitiza tununue ticket nyingine na fedha zetu hazirudishwi.

Naomba msaada wa kisheria juu ya hawa watu wanaondesha mambo kibabe kiasi hiki.

Asanteni
 
Any cancellation within 6 hours hawarefund, pia a passenger is considered a non show after a flight has departed, they miss the check-in desk closure or fail to board the aircraft within the required time...soma rules zao hapo chini kwenye ticket mkuu!
 


Nilishasoma rules, #7 , 10 na 11 kabla hata sijaanza kusafiri na hiyo ndege yao.

Nimesema nilikuwepo pale airport na wakaniruhusu ku print na kuingia ndani immediately. Within ten minutes tuu ndiyo mtu wa check in akatosa.
 

"Non-show" haiwezi kuwa applied hapo mkuu, nilikuwepo airport na muda wa kuondoka ulikuwa bado.

Infact wamekaa ki ubabe ubabe tuu, huwezi endesha ndege kienyeji enyeji vile.
 
Huu ndo ubaya wa monopolistic market. Shirika letu ya Ndege kama nchi lingekuwepo lingesaidia sana hata kuwashape hawa private companies. Ukishakuwa mwenyewe kwenye soko unajiona mfalme. Precision nao wamejifia nao walivyokuwa wenyewe walitutesa japo sio kwa condition za kibandidu hivi
 
nilishasoma rules, #7 , 10 na 11 kabla hata sijaanza kusafiri na hiyo ndege yao.

Nimesema nilikuwepo pale airport na wakaniruhusu ku print na kuingia ndani immediately. Within ten minutes tuu ndiyo mtu wa check in akatosa.



unapongangania within ten mins nikusaidie tu kwa hili ....counter wanafunga 1130...umeprint tkt 1125 ukaingia ndani 1135 unahisi iko within 10 mins or not???n if yes unahisi umechelewa counter ama lah???ukinjibu naendelea
 
unapongangania within ten mins nikusaidie tu kwa hili ....counter wanafunga 1130...umeprint tkt 1125 ukaingia ndani 1135 unahisi iko within 10 mins or not???n if yes unahisi umechelewa counter ama lah???ukinjibu naendelea

Hiyo ni kitu basic sana, acha kuwa mtetezi wa vitu visivyo na tija, othwerwise unafaidika na hili kampuni.

Nimesema nimefika counter bado ten minutes ndiyo ule muda wa check in before 40 minutes uwe umeisha.
So delay ilikuwa pale pale counter katika interval ya wao kusoma documents za watu wengine then sisi next.

Okay, kama wameamua ku consider nimechelewa, kwanini hawakubali nilipe penalty nipewe ndege nyingine?

Usitetee ukandamizaji usio na tija katika nchi yetu
 
Sina ninachofaidika hatakidogo naeleza from experience hakuna airline inayoruhusiwa kusimamisha MTU aliekwenye que nakusema mudaumeisha... Ulichosema inaonyesha ulikuwa kwenywfolen ndani ya foleni ,mud a was kufungacounter ukafika wakasema hapa basis tumeshafunga isn't??
 
Kwangu Mimi kitendo cha kuulizia adhabumbadala ya kuchelewa inamaanisha ulichelewa kuhusu adhabu aka penalty soma zilecoverzao....zinasheria Zhao zote......ukichelewa nimimba yako....na wameweka mud a was kuomba kubadili tar...awana penalty low cost dia
 
Kwa fastjet ni matatizo aisee airline zote hata kama umechelewa mara nyingi wana ku allocate next flight kama nafasi ipo na unaweza lipa fee kidogo. Yalinikuta kama yako tangu siku hyo nimerejea presion
 
tukatae tusikubali, hawa jamaa ni wababe, cha kusaidia sana nenda regulation authority with documentation and cover letter , ungeweza kuanzia kwao (for negotiation purposes) lakn hadithi itakua ileile
 
"Non-show" haiwezi kuwa applied hapo mkuu, nilikuwepo airport na muda wa kuondoka ulikuwa bado.

Infact wamekaa ki ubabe ubabe tuu, huwezi endesha ndege kienyeji enyeji vile.

Acha lawama za kijinga! kuchelewa ni kuchelewa tu.Kwa nini usiprint mapema kuepuka usumbufu? woote wanao laumu Fastjet ni wale ambao wana mambo ya kiswahili, hawajali muda.Ndege sio basi bana, ukichelewa dk 1 umechelewa.Big up fast jet kwa kutia displine watu kama nyie.Fuata na jali muda, acha lazama za kijinga.
 
tukatae tusikubali, hawa jamaa ni wababe, cha kusaidia sana nenda regulation authority with documentation and cover letter , ungeweza kuanzia kwao (for negotiation purposes) lakn hadithi itakua ileile

Acha kumpa mwenzio ushauri wa kijinga.Masharti yoote yameandikwa kwenye tiketi, tatizo lenu huwa hamsomi hizo sharia za Fastjet.Mbona huwa hamlalamiki mnapolipa elfu hamsini kwa fast jet kutoka Mwanza kwenda dar au vinginevyo.Nafuu hugharimu bana.Wabongo tujali muda, tuache kulalamika.Woote wanao lalamika wao ndio wanachelewa halafu wanasema fast jet wababe.Hivi kila MTU akichekewa dk 10 unadhani mwisho wa siku itakuwaje?
 
Mkuu Kundikili mbona unapenda sana kuita wenzio wajinga? Nakushauri utumie kauli nzuri hapa JF twaishi kwa kuvumiliana pia hii inaweka nyufa kati yetu. Fast jet ni shirika lenye wafanyakazi wengi tu kila mmoja ana maonjo yake. Inawezekana mhusika kaangukia mkononi mwa staff jeuri na kaonyesha ubabe. Mi pia nilishawahi kuchelewa si wajua foleni za dar hazitabiliki, lkn mhudumu alinihudumia licha ya kuwa alikuwa kaanza kuondoka counter. So this is an individual case with individual treatment.
 
Pole sana kaka, in short fast jet wamekaa ki local na ni wez sana, I have experience ya kunusuru wiz wa samaki frm mwanza to dsm.very sorry bro ,
 
mtoa mada ni kama vile FIRST-TIME FLYER (anasafiri kwa ndege mara ya kwanza) kawaida local/domestic flight unapaswa kuwa airport/check in masaa 2 kabla ya safari. Sasa kuhusu kuchelewa/penalty fee huwa hai-apply kwa BUDGET AIRLINES kama FASTJET. kwenda kuwashtaki ni kupoteza da wako mana msharti yao yote yapo kwenye tiketi
 
Kama kweli mdau alikuwa ndani ya terminal kwenye msitari wa kuchck-in, anayo haki ya kulalamika kuonewa.
Lakini inaelekea kama vile aliingia terminal baada ya mda kupita.
Hivyo vigezo na masharti yalizingatiwa. Imekula kwake
 
kama huzijui airline operations piga kimya, umeletwa kutetea au wewe ni Marketing waoP?
 
ushauri niliotoa pia ulishwahi kufanya kazi, yeye aniita mjinga
 

Hii ndio nimeisikia leo. Local flight normally ni one hour kabla ya flight, hii ya 2 hours sijui imeanza lini.

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…