Kwa Wataalamu wa sheria,
Tulinunua GO and RETURN ticket ya fastjet, leo tumefika airport wahusika waka zi print ticket zetu, then tukajipanga sehemu ya checkin, within ten minutes muhusika wa sehemu ya kuchek in akasema tumechelewa ku check in, hivyo tununue ticket mpya.
Tuliporudi kwenye office fast jet wakasema "haiwezekani watu wa check in watuzuie kuingia ndani wakati muda tulio print ticket ulikuwa bado unaruhusu kuingia kwenye ndege".
Tumejadili nao kwa kirefu watupe ticket za ndege nyingine then tulipe penalty fee ya huo muda wanaodai tumechelewa, wamekataa. Wanasisitiza tununue ticket nyingine na fedha zetu hazirudishwi.
Naomba msaada wa kisheria juu ya hawa watu wanaondesha mambo kibabe kiasi hiki.
Asanteni