Fastjet watangaza kupunguza wafanya kazi baada ya hali kuwa ngumu

Fastjet watangaza kupunguza wafanya kazi baada ya hali kuwa ngumu

Looks like a hut on fire, and then you want to compare this matatu sacco with KQ???????!!!
It's gonna be a loooong nightmares geza, its better they just cut their losses ,run and call it a day.
ule mpango wenu wa kupata middle east strategic investor umeishia wapi?
 
Offer from Middle East are still on the table but KLM must be jettisoned out first.
 
Sijaona hata mtu mmoja akisema hii habari ipo katika "wrong forum"...

Hahahaaaa kweli jf league ni hot cake
 
Soko la ndege tanzania ni kujitia hasara
Pamoja na fastjet kushusha bei bado watu waliendelea panda mabasi hadi Mwanza kwa masaa mengi na ukiangalia tofauti ya bei ni 10000 pekee
Kuna watu waoga tu kupanda ndege

Duh! Sasa wewe shilingi 10 000 unaiona ndogo? usisahu hapo kuna gharama nyingine wewe umeongelea tiketi tu, kuna kufika na kuondoka Aiport pia, ukijumlisha kila kitu unakuja hata tofauti ya 20 000 ambayo ni nyingi sana kwa kipato cha Mtanzania!
Fikiria kama mtoto anakaa nyumbani kwa kukosa shilingi 10 000 tu kwa mwaka mzima za ada Shuleni, na wako wengi tu, baada ya Serikali kuondoa 10 000 Shule zimefurika mpaka madarasa yakawa hayatoshi!
 
Soko la ndege tanzania ni kujitia hasara
Pamoja na fastjet kushusha bei bado watu waliendelea panda mabasi hadi Mwanza kwa masaa mengi na ukiangalia tofauti ya bei ni 10000 pekee
Kuna watu waoga tu kupanda ndege

Wewe unadanganywa na matangazo kua mwanza dar 32,000/= nenda kakate ticket uone. Juzi nimefanya booking ya watu wawili wazima na mtoto mmoja wa miaka mitatu. Booking ya mwezi ujao tarehe 15. return ticket kwa jumla imekuja laki 8 na nusu.
 
Waaaaaah!!!! Wtf tanzania 10000????? Is you currency this weak ????? Woooow juzi nimebeba drum east africa magazine what i didnt notice was it was ugandan i reached page ya perfumes and saw a 500,000shs perfume karibu ni faint
 
Soko la ndege tanzania ni kujitia hasara
Pamoja na fastjet kushusha bei bado watu waliendelea panda mabasi hadi Mwanza kwa masaa mengi na ukiangalia tofauti ya bei ni 10000 pekee
Kuna watu waoga tu kupanda ndege

Una hakika Mkuu? Ticket ya mwanza Ni Kati ya 150,000 hadi 250,000!
 
Back
Top Bottom