Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
ule mpango wenu wa kupata middle east strategic investor umeishia wapi?Looks like a hut on fire, and then you want to compare this matatu sacco with KQ???????!!!
It's gonna be a loooong nightmares geza, its better they just cut their losses ,run and call it a day.
mimi sio insider, labda utuambie mmebaki wangapi hapo fastijeti na je mna chai ya saa nne na saa kumi?ule mpango wenu wa kupata middle east strategic investor umeishia wapi?
Soko la ndege tanzania ni kujitia hasara
Pamoja na fastjet kushusha bei bado watu waliendelea panda mabasi hadi Mwanza kwa masaa mengi na ukiangalia tofauti ya bei ni 10000 pekee
Kuna watu waoga tu kupanda ndege