Fastjet yaipa kiwewe Kenya Airways (KQ)

Fastjet yaipa kiwewe Kenya Airways (KQ)

ARE YOU INSANE ?. Kenya airways na fastjet , think twice before you post your comments
 
Yes Indeed FASTJET kwa kiasi Fulani imewapunguzia ABIRIA KQ hasa wanaotoka Landlocked countries (ZAmbia, Zimbabwe & Uganda) kuja kuchukua mizigo yao Bandari ya DAR ES SALAAM
 
ARE YOU INSANE ?. Kenya airways na fastjet , think twice before you post your comments

He He He! Hold yourself in check, dont go ballistic! Substantiate your jibe? What Is it That set running out of your skin?!
 
Ni ukweli coz hata domestic flights PW (ambapo KQ ana share na & huwa anatoa bail out) Fastjet ameshika haswaaaa
 
Waltham, fastjet wanatumia Airbus. Sio wadogo na huwezi kuwalinganisha na Precision.
 
Yes Indeed FASTJET kwa kiasi Fulani imewapunguzia ABIRIA KQ hasa wanaotoka Landlocked countries (ZAmbia, Zimbabwe & Uganda) kuja kuchukua mizigo yao Bandari ya DAR ES SALAAM

Imepunguza sana maana wanaanzia dollar 50 tu, hapo Mganda lazima apande Fastjet. Sema waongeze routes iwe daily hata two times hii itasaidia sana kukuza uchumi wetu kwani wataamini usafiri upo.. kazi ipo bandarini
 
bora katazo la kupunguza frequencies za Kenya airways limetoka kwa wakati muafaka ili ku-iboost Fastjet
 
Umeona eeh! ATC inashindwa hata kufanya domestic flights wana hangaika na fastjet
 
Back
Top Bottom