Fat/unene juu ya shaft, nipeni ushauri

BOLT

Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
38
Reaction score
1
Tokea miaka miweili nyuma nimenotice, hii sehemu yangu inayo-hold bolt yangu na mapumbu, imenenepa (imejenga fat) pana-nikera sana, na bolt yangu (ilikuwa 7") sasa nahisi kama imeanza kuliwa na fat (shrink), huwa nasema pekeyangu ningekuwa mwanamke ningekuwa na mzinga wa K' duh.

Naomba msaada wenu nifanyenje ili ile fat ya chini ipunguwe.. hahah
 
fanya mazoezi na punguza kula fats nyingi.......ila nakushauri pia tafuta ushauri wa kitaalamu,waweza kuwa na tatizo lingine......:decision:
 
fanya mazoezi na punguza kula fats nyingi.......ila nakushauri pia tafuta ushauri wa kitaalamu,waweza kuwa na tatizo lingine......:decision:

Best una uzoefu sana na haya mambo ya shaft! Itabidi uniPM sisi wembamba warefu tuko vipi!
 
kina dada semeni mbali na kwamba anaonekana mgonjwa wa busha
 
Mkuu edit kidogo hapo basi maana duh naogopa hata kuchangia
 
fanya mazoezi na punguza kula fats nyingi.......ila nakushauri pia tafuta ushauri wa kitaalamu,waweza kuwa na tatizo lingine......:decision:
una certificate ya mambo ya shaft nini? dear
 
fanya mazoezi na punguza kula fats nyingi.......ila nakushauri pia tafuta ushauri wa kitaalamu,waweza kuwa na tatizo lingine......:decision:

Michelle, nijitahidi kufanya mazoezi, ama dayati siiwezi kusema ukweli, nasio kama natumia mafuta or vyakula vya fat na masamli. Chakula changu ni normal, sijui nimesibiwa na nini labda kama ulivyosema kuna mushkel mwengine. Thanks.
 
kina dada semeni mbali na kwamba anaonekana mgonjwa wa busha

boma, sio busha mkuu, ni juu ile sehemu kama ya wanawake 'kinena' sijui ya wanaume inaitwaje 'uwanja' haha
 
Tena asisahau na wanene wafupi tuko vp????? Hahahahaaaaa!

Makindi, nashukuru mimi sio mfupi, mtu mfupi akiwa yuko menen lol,
nafikiri hata ile shaft yake inakuwa kama kifungo - hahaha
 
kwani ukipiga mashine haipiti? kama unagonga mzigo na unapata raha hayo mengine achan anayo kinenepe au kikonde hakikuhusu
 
mkuu mwone daktari aliyebobea kwen mambo ya bailoji za huko
 
Michelle please tusaidie!

Best anytime ukihitaji msaada mimi niko tayari......
@Marytina,ukiwa na mtu ana hili tatizo,let me know and then have him for month...atakuwa wa kawaida hapo maeneo

Michelle, nijitahidi kufanya mazoezi, ama dayati siiwezi kusema ukweli, nasio kama natumia mafuta or vyakula vya fat na masamli. Chakula changu ni normal, sijui nimesibiwa na nini labda kama ulivyosema kuna mushkel mwengine. Thanks.

Nakushauri tafuta ushauri wa kitaalamu BOLT,watakufanyia screning na kujua kama ni fats au kuna kitu kina-develop....siku hizi cancer kwa wanaume ziko nyingi na katika umri wowote na huanza kama uvimbe,seek medical attention please....

Itabidi nitafute wa kunitazama!
kama bado hujampata naweza fanya hiyo kazi kwa hisani yangu binafsi..l.o.l

Tena asisahau na wanene wafupi tuko vp????? Hahahahaaaaa!
itabidi uni-PM nikuambie...ha ha ha ha aaaaaaaaaa.

mkuu mwone daktari aliyebobea kwen mambo ya bailoji za huko

Asante Kaizer,umeona hilo......
 
Michelle please come hii kitu inasumbua sasa!
 
Michelle please come hii kitu inasumbua sasa!

Rev, niko hapa......inabidi tu aje kwangu nimuangalie,niwe namsisitiza mazoezi na nihakikishe diet yake ni nzuri.....atarudi kushuhudia....

lah kama hataki....afanye yafuatayo:

Cut down your alcohol intake
One of the best ways to naturally shed the wobbling skin on your lower part is to cut down your alcohol consumption; if possible, stop taking alcohol entirely. In your efforts to lose fat around penis, what you drink is as essential as what you eat. Daily intake of sweet alcohol and beer will worsen your situation no matter the number of times you do sit-up daily and try to burn off the fat using other techniques.

Take more of natural water and fluids

As you cut down your alcohol intake, take plenty water, extract lemon juice into water and also take green tea the rest of the times. Make this a consistent habit and see how fast it works!

Desist from Crunches+ Lots of workouts...mazoezi kwa sana!
 
Tatizo si hilo! Nadhani sijui ni njaa hii shaft? Misosi yake nadhani inatakiwa ndo maana unatakiwa uwepo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…