Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mm kila siku nasema ukikosa akili hapa dunia utajikuta unafanya?mambo mengi ya kijinga kama anayo fanya makondaGharama zinatumika kubwa sana! Na ninachokiona na kujiuliza je hizi bwebwe zote hizi Makonda anazozifanya katika kampeni hizi pesa zote anazitoa wapi?
Je anahuwakika wa kushinda na baada ya kushinda anauhakika wa kula uteuzi mkubwa wa uwaziri? Na hapo ndipo atakapozirejesha hizo pesa zote alizotumia kwenye kampeni?
Maana miongoni mwa wagombea ubunge wa CCM ambaye ameonyesha kutumia pesa nyingi kwenye mikutano yake hadi sasa ni yeye!
Makonda ana akili ndogo sana ππ kama lasaba wa sasa hiviMakonda ni bingwa wa unafiki. Kumbukeni alikuwa kipenzi wa Kikwete.
1. Jiwe alipoingia madarakani Makonda akamwaga Kikwete na kuwa kipenzi cha jiwe.
2. Kipindi jiwe akiwa madarakani Makonda alikuwa anamdharau sana huyu mama. Aliwahi kumuacha mama akiifanya ziara mkoani DSM na Makonda akiwa RC wa DSM akakimbia kwenda Tanga jiwe ambako jiwe alikuwa anafanya ziara ya kikazi . Ndiyo siku jiwe akawapatanisha na Ruge .
3. Mama kaingia madarakani akajifanya ana uchungu sana na mama. Mpk siku ya msiba wa Lowasa akawachongea baadhi ya mawziri (nape, makamba, Ummy, n.k) kuwa wanamtukana na kumhujumu mama. Hivi sasa anaendeleza unafiki ili mama aendelee kumuamini.
Kwahiyo Makonda ndio kasababisha akina Makamba,Nape & Ummy wawekwe pembeni!?,kweli mpaka leo hujui kosa lao!?, by the way, katika Dunia hii kitu muhimu ni maisha mazuri wewe na familia yako. Kuwa CHAWA, mnafiki, roho mbaya ila kikubwa uishi vizuri tu. Kuna watu mnateseka miaka yote kwa ajili ya Makonda, ila cha ajabu Makonda huwa hateseki na maendeleo ya wengine. Life is too short, live your life.Makonda ni bingwa wa unafiki. Kumbukeni alikuwa kipenzi wa Kikwete.
1. Jiwe alipoingia madarakani Makonda akamwaga Kikwete na kuwa kipenzi cha jiwe.
2. Kipindi jiwe akiwa madarakani Makonda alikuwa anamdharau sana huyu mama. Aliwahi kumuacha mama akiifanya ziara mkoani DSM na Makonda akiwa RC wa DSM akakimbia kwenda Tanga jiwe ambako jiwe alikuwa anafanya ziara ya kikazi . Ndiyo siku jiwe akawapatanisha na Ruge .
3. Mama kaingia madarakani akajifanya ana uchungu sana na mama. Mpk siku ya msiba wa Lowasa akawachongea baadhi ya mawziri (nape, makamba, Ummy, n.k) kuwa wanamtukana na kumhujumu mama. Hivi sasa anaendeleza unafiki ili mama aendelee kumuamini.
Njoo na facts alicho kifanya kwa gambo ile ni nn?kama siyo tamaa ya ubunge na uwaziri .Kwahiyo Makonda ndio kasababisha akina Makamba,Nape & Ummy wawekwe pembeni!?,kweli mpaka leo hujui kosa lao!?, by the way, katika Dunia hii kitu muhimu ni maisha mazuri wewe na familia yako. Kuwa CHAWA, mnafiki, roho mbaya ila kikubwa uishi vizuri tu. Kuna watu mnateseka miaka yote kwa ajili ya Makonda, ila cha ajabu Makonda huwa hateseki na maendeleo ya wengine. Life is too short, live your life.
Kwani inakatazwa kugombea ubunge ukiwa Mkuu wa Mkoa?Wanagombea mawaziri au hujawaona? Amemfanyia nini Gambo?Fafanua wacha kufuata tu mkumbo.Andika ueleweke.Njoo na facts alicho kifanya kwa gambo ile ni nn?kama siyo tamaa ya ubunge na uwaziri .
Alicho kifanya 2020 kule kigamboni ni nn? Kama siyo tamaa ya madaraka yy ni mkuu wa mkoa akaona ufai kabisa .na?alipigwa na wajumbe
Wew ushakuwa ni chawa wa makonda ππππKwani inakatazwa kugombea ubunge ukiwa Mkuu wa Mkoa?Wanagombea mawaziri au hujawaona? Amemfanyia nini Gambo?Fafanua wacha kufuata tu mkumbo.Andika ueleweke.
Gharama zinatumika kubwa sana! Na ninachokiona na kujiuliza je hizi bwebwe zote hizi Makonda anazozifanya katika kampeni hizi pesa zote anazitoa wapi?
Je anahuwakika wa kushinda na baada ya kushinda anauhakika wa kula uteuzi mkubwa wa uwaziri? Na hapo ndipo atakapozirejesha hizo pesa zote alizotumia kwenye kampeni?
Maana miongoni mwa wagombea ubunge wa CCM ambaye ameonyesha kutumia pesa nyingi kwenye mikutano yake hadi sasa ni yeye!
Makonda mzee wa fulsa, anacheza na mfumo ila siku kikiumana asije kimbia nchi ambapo amezaliwaGharama zinatumika kubwa sana! Na ninachokiona na kujiuliza je hizi bwebwe zote hizi Makonda anazozifanya katika kampeni hizi pesa zote anazitoa wapi?