rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Jamani naomba mwenye picha ya Fataki(anaye act kula vitoto vya watu kwenye radio) naomba msaada!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ndio fwataki mwenyewe
Dili! tamwa nini!Fataki Mikela naomba simu yako-tunataka tukupe deal!ili mradi uwe original,usije ukawa Stephe Nyerere.
mkuu vitoto vinataka fweza na fweza inakaa mifukoni? mbona fiffy akiimba ile nyimbo ya PIMP anashika nanihii yake?kuonyesha msisitizo ile kitu iko wapi...Kwanini wanaume wakiigiza wanazengea binti/mdada/mwali/au mwanamke yeyote huwa wanaweka mikono mfukoni? kuna nini ndani ya filosofi ya kuweka mikono mfukoni?
mix with yours
Jamani naomba mwenye picha ya Fataki(anaye act kula vitoto vya watu kwenye radio) naomba msaada!