Father Kitima Uko wapi Chadema inaangamia, viongozi wa dini mtatupeleka shimoni msipokuwa makini

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.

Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?

Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
 
Ccm kila majina mpaka mbosso mtamuweka kuokoa CHADEMA hapa JF
 
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.

Bagonza anayefanana kichwa na Mwijaku amekuwa bingwa wa kutoa vijembe kwa viongozi na serikali utadhani yeye ni mkamilifu

Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?

Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa Chadema?

Shame on u
NDIO KWANZA CHAMA CHAO KINAIMILIKA
 
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.

Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?

Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
Chadema ya kina mrema ni chadema ya wachumia tumbo shame on you njaa55
 
Malipo ni hapahapa duniani, Lisu leo na yeye anaitwa dikteta uchwara kwa kutengua teuzi.Karma is realKikombe alichonyweshea wenzake atakinywea
 
Chadema inayoangamia ni ya wachumia tumbo na wezi na wafisadi

Chadema Kama chama kipo imara Sana

Ubora wa chama ni kuwekeza kwa watu wa chini na wenye kipato Cha Kati

Chezeni tu mziki wa chadema kuja kushutuka chadema ni popular mala 100 ya ccm
 
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.

Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?

Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
Unapokuwa unachomwa hii kitu 💉 unatakiwa utulie, ili dawa iingie vizuri.
 
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.

Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?

Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
 
Attachments

  • cf0ea736521de32f5d65e1a6b7fd56a4_1743187151179.mp4
    579.6 KB
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.

Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?

Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
Kitima anaona Viongozi wa CHADEMA hawashauriki.Ukiwashauri kinyume na msimamo wao wanakutangaza kwenye mikutano.Lissu hana kaba
 
Back
Top Bottom