Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
NDIO KWANZA CHAMA CHAO KINAIMILIKAFather Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.
Bagonza anayefanana kichwa na Mwijaku amekuwa bingwa wa kutoa vijembe kwa viongozi na serikali utadhani yeye ni mkamilifu
Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?
Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa Chadema?
Shame on u
Chadema ya kina mrema ni chadema ya wachumia tumbo shame on you njaa55Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.
Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?
Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
Unapokuwa unachomwa hii kitu 💉 unatakiwa utulie, ili dawa iingie vizuri.Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.
Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?
Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
Father Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.
Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?
Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
Kitima anaona Viongozi wa CHADEMA hawashauriki.Ukiwashauri kinyume na msimamo wao wanakutangaza kwenye mikutano.Lissu hana kabaFather Kitima na askofu Bagonza, mmekuwa waasi dhidi ya serikali, mkionyesha dhahiri mapenzi yenu kwa Chadema, hata kudiriki kufanya vikao vya usuluhishi baina ya Mbowe vs Lissu.
Hivi kweli chama mnachotaka kishike dola ndio hiki kweli?
Iko wapi demokrasia wanayohubiri hawa CHADEMA?
Ni dikteta aliyekamilikaMalipo ni hapahapa duniani, Lisu leo na yeye anaitwa dikteta uchwara kwa kutengua teuzi.Karma is realKikombe alichonyweshea wenzake atakinywea