Fatma Dewji awapelewa Mashabiki wa Simba Mwembe Yanga

Tajiri ametoa ofa ya kuwapeleka wana simba wote kutazama mechi yao ya mwisho kwenye TV screen kubwa huko Mwembe Yanga; Ingependeza sana angewapeleka Mwembe Simba

View: https://www.youtube.com/watch?v=s3hCZxEz0kE

Huyu si ana cheo huko Singida black stars?!ila soka la nchi hii bhn..Hapohapo utasikia Mavunde nae ana cheo ni mlezi sijui wa Dodoma Jiji hapohapo utasikia sijui ana cheo gani uko Yanga!
 
Usimsahau mwigulu nchemba, mguu yanga mguu singida
 
Dharau kubwa sana hii kwa wale mashabiki mbumbumbu waliong'oa viti, na hivyo kusababisha timu kupigwa marufuku kuingiza mashabiki uwanjani, na pia kupigwa faini.
 
Huyu si ana cheo huko Singida black stars?!ila soka la nchi hii bhn..Hapohapo utasikia Mavunde nae ana cheo ni mlezi sijui wa Dodoma Jiji hapohapo utasikia sijui ana cheo gani uko Yanga!
Mwigulu alijipendekeza tu kumteua ili kujitakatisha, ila Fatma tayari alishakuwa kiongozi Simba Queens
 
Dharau kubwa sana hii kwa wale mashabiki mbumbumbu waliong'oa viti, na hivyo kusababisha timu kupigwa marufuku kuingiza mashabiki uwanjani, na pia kupigwa faini.
Yaani utoke kwako mpaka mwembeyanga kucheki kwenye TV kweli?

Hiyo team ulofa umepitiliza si bora ukaangalie bar tu?
 
Huyu si ana cheo huko Singida black stars?!ila soka la nchi hii bhn..Hapohapo utasikia Mavunde nae ana cheo ni mlezi sijui wa Dodoma Jiji hapohapo utasikia sijui ana cheo gani uko Yanga!
Ubaya upo wapi? Mbona kampuni zinakuwepo kwenye timu nyingi isiwe kwa watu binafs?
 
Back
Top Bottom