Huyu si ana cheo huko Singida black stars?!ila soka la nchi hii bhn..Hapohapo utasikia Mavunde nae ana cheo ni mlezi sijui wa Dodoma Jiji hapohapo utasikia sijui ana cheo gani uko Yanga!Tajiri ametoa ofa ya kuwapeleka wana simba wote kutazama mechi yao ya mwisho kwenye TV screen kubwa huko Mwembe Yanga; Ingependeza sana angewapeleka Mwembe Simba
View: https://www.youtube.com/watch?v=s3hCZxEz0kE
Usimsahau mwigulu nchemba, mguu yanga mguu singidaHuyu si ana cheo huko Singida black stars?!ila soka la nchi hii bhn..Hapohapo utasikia Mavunde nae ana cheo ni mlezi sijui wa Dodoma Jiji hapohapo utasikia sijui ana cheo gani uko Yanga!
Mwigulu alijipendekeza tu kumteua ili kujitakatisha, ila Fatma tayari alishakuwa kiongozi Simba QueensHuyu si ana cheo huko Singida black stars?!ila soka la nchi hii bhn..Hapohapo utasikia Mavunde nae ana cheo ni mlezi sijui wa Dodoma Jiji hapohapo utasikia sijui ana cheo gani uko Yanga!
Ulitaka waende wapi mzee,Pale mwembe Yanga pako sawa,pamekaa kiswazi,au ulitaka waweke TV Jangwani😂Kuchagua kwenda Mwembe YANGA ndicho kinachonishangaza
Anthony Mavunde,Usimsahau mwigulu nchemba, mguu yanga mguu singida
Yaani utoke kwako mpaka mwembeyanga kucheki kwenye TV kweli?Dharau kubwa sana hii kwa wale mashabiki mbumbumbu waliong'oa viti, na hivyo kusababisha timu kupigwa marufuku kuingiza mashabiki uwanjani, na pia kupigwa faini.
Huo sasa ulofa kaangalie kwako jitu zima unapenda vya bureUlitaka waende wapi mzee,Pale mwembe Yanga pako sawa,pamekaa kiswazi,au ulitaka waweke TV Jangwani😂
Huo sasa ulofa kaangalie kwako jitu zima unapenda vya bure
Kaangalie mpira kwako tu au uende bar kuliko kujazana mwembeyanga na vibaka mwishowe uibiwe simu mnapenda vya bureKwani kwenu wapi mkuu mwembe yanga au
Ubaya upo wapi? Mbona kampuni zinakuwepo kwenye timu nyingi isiwe kwa watu binafs?Huyu si ana cheo huko Singida black stars?!ila soka la nchi hii bhn..Hapohapo utasikia Mavunde nae ana cheo ni mlezi sijui wa Dodoma Jiji hapohapo utasikia sijui ana cheo gani uko Yanga!